KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Ok!...Ni hatari zaidi ya Unavyo dhani...!! There is a Killer...na kifo chake Kina husiana moja kwa moja na historia Yake...Historia Ina hukumu!! what ever is lakini Impact yake kwa jamii ni kubwa...kuanzia sasa!!
1.Itikadi za kijambazi zitawachota vijana wengi!!
2.Serikari isidharau!!
absolutely there is no doubt kwamba watu asilimia kubwa hufa kutokana na historia zao na hiyo does not ONLY apply kwa ballali bali kwa kila mtu ! Kama wewe ulikuwa mbwia unga, then thats your history, kama wewe unakamua jani, thats your history and so forth. but what is ballali's really history ?? (kwa wanaomjua tu )