Kifo cha Christina Corrigan: Je ni kubukanya au ni ugonjwa wa kurithi…?

Huko watu wako very serious na wazazi wazembe katika malezi huku kuna wazazi wanafanya unspeakable things and no one question them,kuna wazazi wanawaoa watoto wao,wazazi wanawafanyisha kazi watoto katika mazingira hatarishi mzazi anaweza kumfanya mtoto wake kuwa hata bar tender akiwa yupo shule bado,na kuna single parent wengine hasa wamama wakiwa na binti zao wanastop kuwahudumia eti kisa kila binti aliyevunja ungo she is grown up enough kujihudumia,how?OMG inatia hasira
wangekuwa wanashitakiwa kwa negligence nadhani tungefika mbali
 
Karibu tena coz I really missed u'r entertaining stories n' realities in lyf, thnx.
 
Back
Top Bottom