Kifo cha CCM kinasababishwa na mambo yaliyo juu ya uwezo wa chama kuzuia

Lalashe

Member
Nov 4, 2010
84
1
  1. Mfumo wa serikali ya CCM ambao unawakilisha na kulinda maslahi ya matajiri na wafanyabiashara wachache (Rostam, Lowasa, Manji, Baricks, Ortello Business Corporation, Vodacom na wengineo). Hili hawawezi kujitenga nalo na ndio msingi mkubwa wa kifo cha CCM: mfano mzuri kitendo cha kumtetea Chenge kupitia taasisi yake TAKUKURU ili hali bado ana kesi ya kujibu.
  2. Wanachama wafu katika ngazi za chini ambao shughuli kubwa wanazofanya ni kuhudhuria mikutano na kupewa nafasi katika kamati mbalimbali za chama na serikali bila ya kujua kinachoendelea katika kundi la wachache wanaotoa maamuzi mazito.
  3. CCM kuwa na wanachama wenye mtazamo tofauti na waasisi wa chama hususani katika ushawishi wa kuongeza ushiriki wa wanachama katika maswala muhimu ya kichama na kitaifa; mfano Mwakyembe, Sendeka, Shibuda, Seleli, Lembeli na wengineo wanaokubalika ndani na nje ya chama huku wakinyimwa nafasi ya kurekebisha chama. CHAMA KUKATAA MABADILIKO!
  4. Chama Cha Mapinduzi kinanuka Rushwa (EPA, MEREMETA, UCHAKUZI 2010, RICHMOND, MIKATABA YA MADINI) matumizi mabaya ya nguvu za dola(USALAMA WA TAIFA, POLISI, JESHI) ambayo yote yanahusishwa na ofisi ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Raisi hajaweza kukanusha tuhuma hizo na kuwaridhisha watanzania.
  5. Kujitenge kwa utawala wa CCM na wananchi wa kawaida na wengi walio maskini, huku wakikazana kugombania madaraka na nguvu za kuliongoza taifa bila ridhaa ya wananchi-UDIKTETA
  6. Kuongezeka kwa uelewa wa watanzania kuhusiana na matatizo yanayowakabili kuliko CCM inavyoyaelewa matatizo hayo na kukifanya chama hicho kupata wakati mgumu wa kuwangoza wananchi hao.
  7. CCM kutoa ahadi nyingi za kutatua matatizo ya wananchi wakati wa kampeni za uchaguzi huku wakishindwa kuyatimiza mara wanapoingia madarakani-WANANCHI WANAWANGOJEA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO NA KUWAADHIBU.
  8. Kuongezeka kwa vyama vya hiari nchini vyenye msimamo mkali katika kusimamia haki za binadamu na kuikosoa serikali hadharani.
  9. Umaskini wa watanzania unaohitaji mfumo mpya wa kisiasa kuyashughulikia. Sina haja ya kusema CHADEMA wamechukua nafasi hiyo walioshindwa CCM.
  10. La mwisho ni Uchemfu wa chama katika mapendekezo yao ya spika wa bunge la 10. HILI limekula kwao kwa misingi ya kwamba BUNGE HILI si la kuwaweka watu wasiokuwa na uwezo wa kuchambua na kusimamia issues.
WANAJAMII MMEKIONA KIFO CHA CHAMA CHA MAJAMBAZI? KWA HERI CCM, KUMBUKENI, WALIOTEMBEZA JENEZA LENU HAWAKUKOSEA BORA MUANDAE MAZISHI MAPEMBA KABLA HAMJAWA SUPRISED MKASHINDWA HATA KUGHARIMIA MAZISHI.
 
Wao wanaweza wasife lakini nchi yetu ndo ittadidimia sana, kwa mambo hhaya ya kifirauni wanayofanya. Kila wafanyalo linaonesha wazi kabisa halina akili hata kidogo.

I hate CCM!!!! I hate It !!!!!!! :A S angry:
 
Kwa staili yao hii, ccm haiwezi kufa yenyewe, inatakiwa iuawe kwa nguvu ya umma!!
 
adui yangu namba moja ni ccm. nwaichukia sana ccm, siwapendi ccm
mnaifanya tz kuwa maskini huku nyie wachache mkineemeka. ccm i hate you so much! i wish ningekuwa radi nikawasambaratisha ccm wote mkapotea ktk uso wa dunia hii, mmeiba kura zetu mmepokonya ushindi wa wabunge wetu sasa hata mpiganaji sita mmemuengua ili muendelee kula keki ya taifa bila bugudha. alikuwepo hitler alitisha vibaya mno lkn mwisho wake uliwadia akaondoka, nduli wenyewe tulimtimua, mobutu kuku wa zabanga sembuse makamba na genge hili la ccm, ipo siku mtaondoka tuuu!!!
 
jamani mtu yeyote aliyekuwa mkeleketwa wa ccm wakati wa kampeni na sasa ametelekezwa akija kako kuomba msaada mtoe kwa kubwa. sioni kama tutakwenda kwenye uchaguzi 2015, uchguzi utaitishwa mapema zaidi hili ndo naliona
 
CCM's downfall has already begun.

2015 will be a marvelous year for democracy in Tanzania. Marvelous indeed.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom