Kifo cha Balali kimetuonyesha idadi ya wendawazimu tulionao Tanzania

Antsadism

Member
Mar 22, 2008
17
0
Kifo cha Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Balali kinaonekana kugeuzwa kuwa mtaji wa kisiasa miongoni mwa vyama vya siasa nchini.

Kwa mfano, vyama vilevile na wanasiasa walewale waliokuwa wakimuita marehemu Balali kuwa ni mwizi na fisadi anayepaswa kushtakiwa mahakamani kutokana na kashfa ya shilingi bilioni 133 zilizochotwa kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya BoT ndiyo walewale ambao leo wanakuja na kauli tofauti.

Wanasema eti Balali amefanywa kuwa kondoo wa kafara, kwamba kamwe hahusiki kwa namna yoyote ile na kuchotwa kwa mabilioni hayo ya fedha kutoka EPA, badala yake mhusika mkuu ni Serikali ya CCM.

Kinachotisha zaidi ni hatua ya baadhi ya vyama kufikia hatua ya kudai eti kuwa Balali hajakufa bali yuko hai, badala yake serikali imeamua kumficha sehemu isiyojulikana ili asirudi Tanzania kuja kutoa ushahidi wa jinsi fedha hizo zilivyotumiwa kifisadi na viongozi serikalini kwa ajili ya maslahi ya kisiasa ya Chama Cha Mapinduzi.

Wendawazimu huu mkubwa kabisa katika kilele cha vyama na wanasiasa wetu kuchanganyiwa si tu kwamba kinathibitisha jinsi nchi yetu ilivyo nyuma kabisa kisiasa, lakini pia kimetuonyesha idadi halisi ya wanasiasa wendawazimu tulionao nchini na vyama vyao.

Hao ndio mabingwa wa kusema “hawatalala mpaka kieleweke” wakati wa kampeni za urais huku wengine wakitaka tuwe na “vyama vidogo vya kisayansi” kama ilivyo NCCR – Mageuzi!
 
Na wewe katika hili upo upande gani?
 
unajuwa katika haka kamtandao wa kajamii f wamo pia mafisadi tena wabaya kuliko wanaodhaniwa, wakati Balali alipokuwa hajulikani wapi alipo hakuna mwana JF hata mmoja aliyesema yupo wapi Balali, lakini alipokufa wengine hata walisema wamepewa mwaliko wa maziko, sasa hawa tuwaitaje kama sio mafisadi? ukimficha mwizi na wewe mwizi
 
Antisadism

Nafikiri umeona ile thread yangu ya "Hebu nisaidieni katika hili jamani" kama utaweza kunasaidia katika maswali niliyouliza basi mimi pia nitarudi na kuamini kama wewe.
La basi nitaanza kuamini na wewe ni mmoja wao au ndiye mwenyewe fisadi mkuu
 
........Hakuna kitu!!...watu wana piga makelele..Hawakumbuki walicho post jana...Kuna watu Humu JF hata post zao hua si somi!!....
 
Kifo cha Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Balali kinaonekana kugeuzwa kuwa mtaji wa kisiasa miongoni mwa vyama vya siasa nchini.

Kwa mfano, vyama vilevile na wanasiasa walewale waliokuwa wakimuita marehemu Balali kuwa ni mwizi na fisadi anayepaswa kushtakiwa mahakamani kutokana na kashfa ya shilingi bilioni 133 zilizochotwa kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya BoT ndiyo walewale ambao leo wanakuja na kauli tofauti.

Wanasema eti Balali amefanywa kuwa kondoo wa kafara, kwamba kamwe hahusiki kwa namna yoyote ile na kuchotwa kwa mabilioni hayo ya fedha kutoka EPA, badala yake mhusika mkuu ni Serikali ya CCM.

Kinachotisha zaidi ni hatua ya baadhi ya vyama kufikia hatua ya kudai eti kuwa Balali hajakufa bali yuko hai, badala yake serikali imeamua kumficha sehemu isiyojulikana ili asirudi Tanzania kuja kutoa ushahidi wa jinsi fedha hizo zilivyotumiwa kifisadi na viongozi serikalini kwa ajili ya maslahi ya kisiasa ya Chama Cha Mapinduzi.

Wendawazimu huu mkubwa kabisa katika kilele cha vyama na wanasiasa wetu kuchanganyiwa si tu kwamba kinathibitisha jinsi nchi yetu ilivyo nyuma kabisa kisiasa, lakini pia kimetuonyesha idadi halisi ya wanasiasa wendawazimu tulionao nchini na vyama vyao.

Hao ndio mabingwa wa kusema "hawatalala mpaka kieleweke" wakati wa kampeni za urais huku wengine wakitaka tuwe na "vyama vidogo vya kisayansi" kama ilivyo NCCR – Mageuzi!

Nani huyo, wa chama gani na alisema nini? Onyesha mpinzani gani alisema Ballali fisadi halafu baadae akasema hahusiki. Usiongee vitu jumla jumla tu.
 
unajuwa katika haka kamtandao wa kajamii f wamo pia mafisadi tena wabaya kuliko wanaodhaniwa, wakati Balali alipokuwa hajulikani wapi alipo hakuna mwana JF hata mmoja aliyesema yupo wapi Balali, lakini alipokufa wengine hata walisema wamepewa mwaliko wa maziko, sasa hawa tuwaitaje kama sio mafisadi? ukimficha mwizi na wewe mwizi

Una hakika kuwa hakuna mwana JF aliyesema hili? Soma threads za Ballali hapa uone ni nyingi kiasi gani ziliandikwa kuhusu Ballali na namna wana JF walivyokuwa wanatafuta kumpata na kuandika kinachoendelea kuhusu yeye.

Kumbuka kuwa marekani ni tofauti na nyumbani, huwezi kwenda nyumbani kwa mtu bila ruhusa yake kwani unaweza kujitia matatizoni. Kumbuka pia kuwa hakuna ambaye ni polisi hapa US ambaye alikuwa na uwezo kisheria kumkamata Ballali.

kabla hujatoa lawama jumla, jaribu kidogo kusoma kilichoandikwa hapa JF siku za nyuma.
 
Wandugu Masanja,
Hata ungejua alipokuwa ungefanya nini? Ungejichukulia sheria mikononi? Suala halikuwa wapi alipo Balali, suala lilikuwa ni role ya Balali katika upotevu wa pesa za EPA. Na hilo tulilizungumzia sana hapa JF.
 
Kifo cha Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk. Daudi Balali kinaonekana kugeuzwa kuwa mtaji wa kisiasa miongoni mwa vyama vya siasa nchini.

Kwa mfano, vyama vilevile na wanasiasa walewale waliokuwa wakimuita marehemu Balali kuwa ni mwizi na fisadi anayepaswa kushtakiwa mahakamani kutokana na kashfa ya shilingi bilioni 133 zilizochotwa kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya BoT ndiyo walewale ambao leo wanakuja na kauli tofauti.

Wanasema eti Balali amefanywa kuwa kondoo wa kafara, kwamba kamwe hahusiki kwa namna yoyote ile na kuchotwa kwa mabilioni hayo ya fedha kutoka EPA, badala yake mhusika mkuu ni Serikali ya CCM.

Kinachotisha zaidi ni hatua ya baadhi ya vyama kufikia hatua ya kudai eti kuwa Balali hajakufa bali yuko hai, badala yake serikali imeamua kumficha sehemu isiyojulikana ili asirudi Tanzania kuja kutoa ushahidi wa jinsi fedha hizo zilivyotumiwa kifisadi na viongozi serikalini kwa ajili ya maslahi ya kisiasa ya Chama Cha Mapinduzi.

Wendawazimu huu mkubwa kabisa katika kilele cha vyama na wanasiasa wetu kuchanganyiwa si tu kwamba kinathibitisha jinsi nchi yetu ilivyo nyuma kabisa kisiasa, lakini pia kimetuonyesha idadi halisi ya wanasiasa wendawazimu tulionao nchini na vyama vyao.

Hao ndio mabingwa wa kusema “hawatalala mpaka kieleweke” wakati wa kampeni za urais huku wengine wakitaka tuwe na “vyama vidogo vya kisayansi” kama ilivyo NCCR – Mageuzi!

Absolutely
 
Sio tu kwamba ujumbe wako una hoja bali pia kwa post yako hii tegemea kupata idadi zaidi ya wendawazimu!
 
NI KWELI KWANI HATA WEWE UMEONYESHA UWENDAWAZIMU WAKO WAZIWAZI HIVYO HUJAKOSEA.
 
Back
Top Bottom