Kifo cha baba ronaldinho kilimpa mzuka akafunga goli ili

Aiseee sijapata kuona aina ya mchezaji kama ronaldinho yule jamaaa alikuwa na kipaji cha pekeee sana

Dunia haitapata mchezaji like Mfalme Messi,,,mchezaji aliyekamilika anauchezea mpira atakavyo chenga za maudhi watano mpaka saba,,,na mpaka amefikia kuitwa The King sio mchezo.waulize brazil,spain ecuador usa n.k kilichowakuta.

Namuombea maisha marefu mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Nitapata kuwahadithia wajukuu zangu.
 
Ronaldinho gaucho alifiwa na baba yake akapata taarifa kwa kuwa walikuwa na mechi muhim akawaambia atacheza tu,

Baada ya kufunga gori alilidedicate kwa baba yake anaonekana mwenye uchungu aise mzazi anauma sana ona , alipata ujasiri wa.kufunga goli pekee la kuwapa ubingwa,

Pole yake aise.
 
Dunia haitapata mchezaji like Mfalme Messi,,,mchezaji aliyekamilika anauchezea mpira atakavyo chenga za maudhi watano mpaka saba,,,na mpaka amefikia kuitwa The King sio mchezo.waulize brazil,spain ecuador usa n.k kilichowakuta.

Namuombea maisha marefu mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Nitapata kuwahadithia wajukuu zangu.
Huu unazi ni noma!! Kwamba Messi kakamilika
 
Kakamilika kuliko walivyokuwa Zizzou na Gaucho?

Yeah kawapita mbali tu mbona,, kama Diego na Pele hawagusi kwa huyu mfalme,, sembuse Gaucho na Zizzou!!!!!!

Hebu jaribu kufikiri tena kabla hujapost Mkuu.maana hapa tutakesha kumjadili huyu kiumbe asiefananishwa.
 
Anzisha uzi wako, hapa tunamjadili Gaucho full stop.
 
Yeah kawapita mbali tu mbona,, kama Diego na Pele hawagusi kwa huyu mfalme,, sembuse Gaucho na Zizzou!!!!!!

Hebu jaribu kufikiri tena kabla hujapost Mkuu.maana hapa tutakesha kumjadili huyu kiumbe asiefananishwa.
Wewe una mahaba makubwa sana kwa Messi kiasi kwamba hauoni mapungufu yake kumlinganisha na wengine! Pole sana Messi kakitia upofu.

Yaani Messi kakamilika kuliko alivyokuwa zidane? Messi anauwezo wa kunyumbulika na kufanya ball dancing kama alivyokuwa Gaucho? Messi ana control mipira ya kuu akikutana na wakabaji warefu kama Ambrosin au Ramos!? Ulishamuona Messi ana compete kwenye mipira ya kona?

Hebu acha mahaba eti messi kakamilika!
 
Sina mahaba na Messi. Hapa tunasema ukweli uliodhahiri.Tatizo lako unalazimisha kitu ambacho hakiwezekani mkuu. Ivi kweli messi umlinganishe na gaucho and zizzou?? Kwa vigezo gani?? Ni sawa sawa na SIMBA umpiganishe na Mbweha uone atakachomfanyia. Waliompa messi jina la ufalme sio wajinga mzee. Na Ndio maana nikakwambia hapa tutakesha kumzungumzia huyu kiumbe. In-short haelezeki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom