seedorf samuel
New Member
- Apr 23, 2019
- 4
- 3
Mimi nahisi lugha ya Kifaransa ipewe uzito wake maana ni nyepesi kujifunza kuliko Kingereza.
sasa hicho kifaransa utazungumza na nani
merci beaucoupMimi nahisi lugha ya kifaransa ipewe uzito wake maana ni nyepesi kujifunza kuliko kiingereza
Unakijua Kifaransa? Sijui ni kichwa changu, naona ni lugha ngumu.Mimi nahisi lugha ya kifaransa ipewe uzito wake maana ni nyepesi kujifunza kuliko kiingereza
Sina uhakika, unamaanisha anaongea Kifaransa vizuri/kizuri?Je ne parle pas assez bien français !
Nahitaji kujua hii lugha nitakupataje unifunzemerci beaucoup
Hii lugha nahitaji ifahamu nitakupatajeJe ne parle pas assez bien français !
Leta kazi hiyoNahitaji kujua hii lugha ntakupataje unifunze
Karibu sanaNahitaji kujua hii lugha ntakupataje unifunze
la problème ❌ mais le problème✔️C'est une langue qu'est trop facile..
Je sais cette langue ... Mais la problème viens ici, à qui je vais parler avec?
Alosr je n'ai pas le pratique..
Mais la français c'est très bonne...
Ça ce n' est le problème dans le monde modern.C'est une langue qu'est trop facile..
Je sais cette langue ... Mais la problème viens ici, à qui je vais parler avec?
Alosr je n'ai pas le pratique..
Mais la français c'est très bonne...