Kifahamu kikundi cha udukuzi mtandaoni kiitwacho Anonymous Hackers mwanzo mwisho

Kweli mkuu, script kiddies ndio wamejaa bongo kazi kusumbua watu Facebook na insta hakuna lolote wababaishaji tu.
Wapo, Hackers huwezi kuwaona na wala hawajitangazi.
Hawana marafiki
Rafiki yao mkubwa ni PC
Wanalala kwenye internet na wanaamkia huko pia.
Nenda huko deep web utawaona wengi..
Pia wako Expensive kama ukitaka kuwaajiri... Hawana njaa

Achana na hawa wanaojitangaza.
 
Mkuu mtu anawezaje kuwa hacker?

Especially hawa wa benki ??

Back
Top Bottom