Kifahamu kikundi cha udukuzi mtandaoni kiitwacho Anonymous Hackers mwanzo mwisho

Ha ha ha ha Mnyama akili nyingi kumbe unapitaga mitaa ile,

Nikajua ni sisi tu vichwa maji,

umetuinua kiasi fukani,

Sema nakuelewa huwa una unyama fulani hivi kwenye maandishi yako,

kimtindo una-reflect unyama ya huyo jamaa wa username yako mzee
Hardcore writing from softcore writer..
Huko hakuna mbabe watu wanapita kimya kimya wakikumbuka walivyo fanya nawao
 
Back
Top Bottom