Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,154
Kutokana na ongezeko mabadiliko ya hali ya hewa, kuongezeka kwa shughuli za uchumi zinazoharibu mali asili. Uhaba wa maji duniani unatabiriwa huko siku za mbele.
Wataalamu wamekuja na choo cha ndani kisichotumia maji. Unaweka mfuko kama lining ndani ya choo, ukimaliza shughuli kuna kifute unabonyeza mfuko unajifunga na kukaa kwenye chember.
Inategemea idadi ya watu wanaotumia choo. Mkiwa wengi inabidi kumwaga chemba kila siku. Mkiwa wachache mnamwaga chemba mara moja kwa wiki.
Mifuko inayotumika inatokana na vyanzo asili. Unaweza kuuza uchafu unaotoka kwenye chember ukatumika kama mbolea mashamabani.