Kifaa kiipya kabisa in da jamii f..

Karibu,wewe kifaa kipya,haujachakachuliwa?

Bora wewe umeuliza....maana hiyo ''kifaa kiipya'' usijerukiwa hapa ukachakaa kabla ya muda wako wa kutumika...ar M or F? Maana jina na subject ni utata mtupu.

By the way karibu sana JF ''kifaa kiipya''
.
 
mkuu safari hii utagombea chadema au cuf?
karibu sana na majibu nayataka.mia
 
Nijuze jinsia yako tafadhali kama ni F nitume maombi, maana nami natafuta kifaa kipya kwa udi na uvumba
 
....huna muda wewe,ukirukaruka humu unachakaa fasta!!karibu jamvini
 
To b active in good things is a gift from God,i believe

..........I believe too,............karibu sana,...........................,to be a great thinker you have to think...............do you believe?..............karibu sana..............are you a great thinker? Would you wish to be so?........................mi ni mwenzetu niko hapa na pale,...................karibu sana wanywa kinywaji gani?................................
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom