Kifaa cha kuzima moto (Fire Extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya wageni (Guest House)

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
806
805
Naomba kufahamu mambo ya kuzingatia unapohitaji kununua kizima moto (Fire extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya kulala wageni (Guest house).

Mfano:
Kimoja kinatosha kwa nyumba yenye vyumba vingapi?

Kinatakiwa kuwa na uzito au ujazo gani? Nk.
 
Ok
 
Nenda fire mkuu.hizi ndiyo kazi zao watakupa ushirikiano na ushauri mzuri sana .Maana watakuja kukagua halafu wanakuelekeza na kukushauri idadi pamoja na kilo ya fire extingusihers.pamoja na training. usifanye mzaha na mambo ya moto hasa kama umefanya uwekezaji mkubwa hivyo
 
Nakushukuru sana Kwa ushauri muruwa.
Nitakwenda kwenye ofisi hiyo.
Ni kweli Moto ni hatari sana.
 
Kwa kifupi...
Bajaji au pikipiki zinahitaji Fire extinguisher nusu Kg au Kg 1
Saloon cars below 1 tonne zinahitaji at least 1 kg au 2 kg fire stopper
Gari 2tonne Hadi 5 tonne zinahitaji at least 2kg Hadi 6kg fire stopper

Nyumba za kuishi ,magari makubwa,Petro stations,Nyumba za wageni , viwanda nk anzia 6kg
Na kwa hitaji lako weka atleast 6kg Kila baada ya Room 2 ..

Kama unapenda usalama zaidi weka 9 kg
 
Nakushukuru sana kwa ushauri huu.
Nitautekeleza kwa kuwasiliana pia na ofisi ya Zima moto.
 
Sipati picha Kama gesti ikishika Moto ilhali wezi wa wake na waume za watu wanajinafasi
 
Mbona fire wao moto ukitokea hutumia maji kuzima?!

Kwani na wao wasitumie fire extinguisher?!

Au yale maji nionayo wakiyatumia kuzima mioto ni fire extinguisher?!

Au mimi ndio sielewi fire extinguisher ni nini?!
 
Fire extinguishers Mara nyingi hutumika kuzima mioto inayoanza.

Moto ukishachanganya say, nyumba au chumba kimeshika moto chote Fire Ext haiwezi kuuzima huo moto.

Hapo ndipo Fire fighters wetu huingilia kati na kutumia maji yenye preasure kubwa maana ndiyo nyenzo Rahisi kupatikana.
 
Back
Top Bottom