Kifaa cha kudhibiti joto la Incubator kilichoundwa na MwanaJF chapokelewa JAMECO

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
970
1,461
Kifaa hiki kimefanikiwa kupokelewa na mtandao wa JAMECO,Ambapo kifaa hiki kitatengenezwa kwa packaging nzuri na kuuzwa kote duniani

Kifaa hiki kwa mara ya kwanza kilichapishwa HAPA

Baadae video yake ikaja kuchapishwa HAPA

Baada ya muda kikaonekana katika video hii kikiwa katika mashine HAPA

Baada ya kupitia maboresho kadhaa kifaa hiki kikaweza kutumika katika mashine kubwa kabisa ya kutotoa vifaranga katika mashine yenye uwezo wa kutotoa vifaranga 15,000 kwa kila toleo,ambapo kifaa hiki kimeweza kuendesha heater ya watt 8000 video yake iko HAPAhi ya picha

Baadhi ya picha za mashine kubwa ambapo kifaa hiki kinatumka ni kama zfuatazo
upload_2016-11-27_8-57-6.png

upload_2016-11-27_8-58-25.png
 
View attachment 440370

View attachment 440371
Mimi nahitaji msaada wa EQUIVALENT Mosfet ya KP8N65 ya D-Pack inayopatikana hapa Bongo. Nimekwama mahali.

Ina switch Volt 650 max , output Current 8A max.

Msaaada plz
 
Ondoa herufi mbili za mwanzo KP ibaki 8N65, kaulize dukani utapata. Ukikosa leta mrejesho itafutwe equivalent yake.
 
Back
Top Bottom