Kielimu zaidi.. Zifahamu faida za bogalishe

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,751
.
IMG-20180929-WA0085.jpg
 
Faida Tupu Inaondoa Mgeni (Kitambi)
Tanzania Nayaona Supermarket
Hivi Mkoa Gani Wanalima Haya Makitu
 
Mbegu zake zinapatikana wapi Hapa Tanzania, za hilo boga la aina ya "Butter nut". Tafadhali ninaomba kujuzwa hilo.
 
Mshana Jr. Tafadhali, utufahamishe zinapatikana wapi hapa nchini; Duka, kampuni, wakala, nk. nk. Kama ni nje ya Nchi, vipi tuliopoa hapa tunaweza kuzipata? Asante.
 
Back
Top Bottom