Kielelezo namba 20 (Mfuko wa shangazi kaja) kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake Chasisimua Mahakama

Taarifa iliyotolewa Mbele ya Mahakama ya Uhujumu uchumi na Waendesha mashitaka wa serikali , kwamba Moja ya kielelezo kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake ni mfuko wa bei chee wa kubebea vifurushi unaofahamika kwa jina zuri la SHANGAZI KAJA , umefanya Waliohudhuria kesi hiyo wakiwemo mabalozi wa nchi mbali mbali kupigwa na butwaa .

Kielelezo hicho Muhimu cha Ugaidi huo ambao unatajwa kuwa na thamani ya shilingi laki 6 za kitanzania kimepewa namba 20 , wengi tunasubiri kuona namna ambavyo shangazi kaja hiyo ilivyotumika kwenye mipango ya Ugaidi .

Nyongeza : Kwa wale ambao hawajui Mfuko wa Shangazi kaja ulivyo naambatanisha picha yake hapa chini

View attachment 1932372
Mie husema wabongo hujifanya wajuaji, lakini kiukweli tuko tiro sana. Ugaidi actually ni tactic imetumiwa na wamerekani kutaka kwenda middle-east kuiba mafuta, sasa naona watu na akili zao wakija na story za ugaidi inaumiza kichwa kwa kweli.
 
Taarifa iliyotolewa Mbele ya Mahakama ya Uhujumu uchumi na Waendesha mashitaka wa serikali , kwamba Moja ya kielelezo kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake ni mfuko wa bei chee wa kubebea vifurushi unaofahamika kwa jina zuri la SHANGAZI KAJA , umefanya Waliohudhuria kesi hiyo wakiwemo mabalozi wa nchi mbali mbali kupigwa na butwaa .

Kielelezo hicho Muhimu cha Ugaidi huo ambao unatajwa kuwa na thamani ya shilingi laki 6 za kitanzania kimepewa namba 20 , wengi tunasubiri kuona namna ambavyo shangazi kaja hiyo ilivyotumika kwenye mipango ya Ugaidi .

Nyongeza : Kwa wale ambao hawajui Mfuko wa Shangazi kaja ulivyo naambatanisha picha yake hapa chini

View attachment 1932372
ume google vipi mkuu? Ukiandika mfuko wa shangazi kaja hawaleti.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom