Kidume cha mbegu wake 100 na watoto 300..........

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
413
Bwana Ansetas Akuu a.k.a. Akuku Hatari kama alivyofahamika kwa wanakijiji wenzake amefariki wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 97 huko kwao nchini kenya. Akuku hatari katika uhai wake alioa na kuzaa na wanawake 100 ambao walimzalia watoto 300. Akuku danger alipokuwa akihojiwa na BBC wiki moja kabla ya mauti kumfika alisema kuwa mke wake wa kwanza alimuoa 1939 na mke wake wa mwisho (100) alimuoa 1997. Pia inasemekana kuwa Akuku danger ana wajukuu wanaokadiriwa kufikia 300...Source: BBC
 
bwana ansetas akuu a.k.a. Akuku hatari kama alivyofahamika kwa wanakijiji wenzake amefariki wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 97 huko kwao nchini kenya. Akuku hatari katika uhai wake alioa na kuzaa na wanawake 100 ambao walimzalia watoto 300. Akuku danger alipokuwa akihojiwa na bbc wiki moja kabla ya mauti kumfika alisema kuwa mke wake wa kwanza alimuoa 1939 na mke wake wa mwisho (100) alimuoa 1997. Pia inasemekana kuwa akuku danger ana wajukuu wanaokadiriwa kufikia 300...source: Bbc

hii kali but kitanda hakizai haramu yawezekana wengine alikuwa anasaidiwa.
Kajichukulia umaarufu!
 
Back
Top Bottom