Kidumbwe kidumbwe, chalila... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kidumbwe kidumbwe, chalila...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Boflo, Apr 1, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Watoto wa zamani wakikojoa kitandani, walikuwa wanazungushwa mitaani na kuimbiwa hii nyimbo.....

  Hii nyimbo ina maana gani???

  Watoto wa siku hizi kwa nini hawafanyiwi hii kitu??
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  watoto wa siku hizi si utawa-traumatize na watapata deppresion na saikolojiko child abuse of emotions and rights of human rights of privacy and freedom of speech?

  Unataka NGO zipate kazi?? Jaribu kindumbwe dunia hii ya leo.
   
 3. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii kitu inasaidia sana.....

  Nakumbuka nilipokuwa mtoto nilikuwa nakojoa kitandani, Dingi akanipiga mkwala kuwa atanifanyia kindumbwe kindumbwe........mbona niliacha kukojoa
   
 4. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  kwahiyo ulikuwa unafanya makusudi eeee??
   
 5. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapana mukuuu

  lengo langu ni kuwa mitoto ya sasa hivi wengi wanakojoa kitandani....
  ni vyema wangefanyiwa kindumbwe kindumbwe...
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  watoto wa sasa hakuna,ila utawatambua wanaojikojolea kwa uvaaji wa suruali - ****** nje.
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  maisha yamerahisishwa...kuna pampas mpaka za wazee...hatuna tena vikojozi...LOL
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kama ile KULE*#@....sijui nini hapo!
   
 9. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Konnie hiyo ni kweli.. Lakini itafanyikia wapi? Siku hizi wabongo wako busy na mambo yao.. Life limekuwa tafu!
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hakuna hiyo siku hizi......
   
Loading...