Kiduku sio mchezo!

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Hawa wanafunzi wakisherehekea kupata madawati mapya!kaazi kwei kwei 007_KIDUKU NOMA.JPG
 
Duh...huu mtindo mi nimeuvulia kofia kwa kweli, halafu unawapendeza zaidi watoto wakicheza!
 
Hayo nyuma yao ya plastiki ndio madawati yenyewe waliyopewa?
madawati hayapo pichani ni voda ndio waliwapa msaada,ila furaha ya hicho kiduku ni kuwa sasa kukaa chini basiii!
 
Waaache wagonge viduku,hom wakae kwenye vigoda skul wakae chini..miaka 50 ya umaskini!!
 
Back
Top Bottom