Kiduku Lilo ni muongo namba 1

Hahahahahahhaahhaahhahahaahhaahaaa...ati unadibua uji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..siwapend kambale dah
hahaaa, sema sisi wabongo njaa zinatufaoya tuhalalishe kula vitu vya ajab, yale madude kwanza yana sura mbaya mpk ngozi, kwanza sijawah yaona hata kwenye mahoteli nakubwa,

Anyway, bwana Kiduku Lilo, iwe kweli au si kweli, anatupa kitu wana jf, kwa kudhamilia au laa ila ana nia nzur na wana jf.
 
mie hata kgusa au kukanyaga kwangu sitak kuyaona!

Yes..kiduku hata kama anafake lakini maisha anayosema yapo sana tu!..umaskini unakera
 
hahaaa, sema sisi wabongo njaa zinatufaoya tuhalalishe kula vitu vya ajab, yale madude kwanza yana sura mbaya mpk ngozi, kwanza sijawah yaona hata kwenye mahoteli nakubwa,

Anyway, bwana Kiduku Lilo, iwe kweli au si kweli, anatupa kitu wana jf, kwa kudhamilia au laa ila ana nia nzur na wana jf.

Siwezi kula kambale aisee ana sura mbayaa na zile ndevu yule nyoka kabisa
 
Hakuna mwanamke mbumbumbu karne hii mkuu..labda awe anaendana na vitendo pia!khaa
Wanawake hajawai kubadilika,
Mwanamke yupo tayari kutoa papuchi kwa mtu ambae gari lake ni zuri
Ipo hivi wanawake wataona uju jamaa sindio wa kuhang nae na jamaa hatajishusha nyakati zote atajiweka level za juu ila akishakuweka tu basi ataangalia maslai mengine
 
Hahahhahaa..unamis point hapa..kuna mawili..kiduku lilo kweli ana pesa au hana pesa..km an pesa ni rahisi kunasa..lakini km hana hela anamnasa nani??yaan maneno tu ya humu mtu avutike?labda mwanamke aamue mwenyewe!

Ni kweli tunavutika na mengi yote hayo tunataka" Security"
 
Security ATM card imemezwa leo nilipoenda kutoa pesa
Gari yangu imepata mzinga
Western union kuna vitu wanavihakiki. Leo nipo vibaya sana so tufurahi kwa kuunganisha makojoleo yetu, apo utaingia king ukijua mambo yatakaa sawa. Ukiona manyoya ujue ameliwa majuto ni mjukuu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‹ mwanaume muongo mbona anajukana jman?labda awe smart sana sana!...
 
Hahahhahaa..unamis point hapa..kuna mawili..kiduku lilo kweli ana pesa au hana pesa..km an pesa ni rahisi kunasa..lakini km hana hela anamnasa nani??yaan maneno tu ya humu mtu avutike?labda mwanamke aamue mwenyewe!

Ni kweli tunavutika na mengi yote hayo tunataka" Security"

Upo best
 
mwanaume muongo mbona anajukana jman?labda awe smart sana sana!...
Unauhakika gani likudi sio smart? Mtu ambae amekuja kujlikana leo kama ni mpigaji lazima tukubali ni smart
Jf inabidi uwe makini sana hasa ukienda nyuzi wanaoishi nje ya Tanzania au nyuzi za magari mazuri vitu ambavyo ndio weakness kubwa sana ya muafrika
 
Haahaaha...! ila zamani kbs na mm nilikua najua mtu mwenye gari ana hela...kumbe wala!
 
Sasa wewe ulitulia haukua na time na mtu, ila kuna wengine sasa
Mim ninauhakika hadi mtu aje hvyo basi anatarget zake, na kwa kipindi hiko choke liduku sio mzembe amewatungua wengi tu kama sniper, mm ninauhakika huo
 
mkuu me nimeshamsoma jamaa yy ni tajiri wa humu tu jf. kule nje hamna kitu tuko ligi moja. tafauti sisi tumejikubali na hali zetu,ila yy ni mwogaa hajikubali. ameona bora ajipe moyo humu badala ya kufa na pressure.
 
hicho anachokifanya kuigiza maisha nikatika kijiriwadha maana anaishi under extreme poverty.
 
Back
Top Bottom