Kidogo jioni hii najisikia nafuu! Kisa Asaliwamoyo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kidogo jioni hii najisikia nafuu! Kisa Asaliwamoyo!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 11, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Tangu ile dk ya 112 pale yule kijana anaeitwa Asaliwamoyo alipotufunga bao la ndondokela hali yangu kiafya ilitetereka kiasi cha kuhatarisha maisha yangu!

  Kweli nimeamini soka la bongo nuksi, Ulaya nako nuksi chama langu la Arsenal FC lilivurunda!

  Angalau jioni hii najisikia nafuu!!
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,111
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Mi nlifikiri bado unamzungumzia Lizzy?
  Kumbe mambo ya jana.
  Yanga ni timu ya ''Chama Twawala'',
  kubebwa yanga kwenye mechi mbalimbali wameiga kutoka kubebwa kwa hicho chama kwenye chaguzi mbalimbali
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Pole sana kwa mkasa wa jana, andaa kabisa madawa ya kushusha presha msimu ujao!
   
 4. God bell

  God bell JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 581
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  JB pole sana kwa jana mkuu. Nilifikiri presha yako iko juu kwa mashambulizi ya jana kati yako na Lizzy. Mimi nililala kwa furaha isiyo kifani kwa kushinda Yanga.
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ahaaa haaa mwacheni Lizzy wangu apumzi salama jamani!
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ahaaaa! Tehe!teheee Moja ya vitu vinavyonifanya nimepe ni uwezo wake wa kusimamia hoja yake! Ni mbishi mwenye weledi na mwenye kusoma alama za nyakati! Nampenda sanaaa jamani huo ndo ukweli wangu!
   
 7. l

  ligra New Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raha ya mechi bao
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu!!
   
Loading...