Kidero: Matatus will not be kicked out of nairobi’s CBD

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
Kidero: Matatus will not be kicked out of Nairobi's CBD - Nairobi News
Matatus will not be locked out of the envisged Urban Transport Plan, Nairobi Governor Evans Kidero assured the owners on Friday.

He said the proposed Bus Rapid Transit system will not kill their business.”We are in no way going to disenfranchise matatus (owners) or to make them lose business,” said the governor.

Speaking to matatu drivers and touts at a city hotel, Kidero said the BRT will have five inter-connected lines named after Kenya’s Big Five animals: Ndovu (elephant), Simba (lion), Chui (leopard), Kifaru (rhino) and Nyati (buffalo).

They will be used by buses to ferry commuters to all key city suburbs. “BRTs aims to ease urban mobility and make commuting a less stressful experience for the over 2.6 million people currently entering or leaving the city daily,” said Kidero.
BRT is a simple transportation system that takes the principle of rail transport onto the road. Public buses are given their own designated lanes separate from those used by other vehicles.

Major roads leading to Nairobi— Mombasa Road, Thika Super Highway, Ngong Road, Jogoo Road and Waiyaki Way— could easily be converted to arterial roads with designated bus ways.
“I am aware they have been asking for bribes to release drivers and touts arrested on flimsy grounds,” said Kidero. They accused the county inspectorate department of harassment, adding that they have to part with between Sh500 and 1000 to secure release. Kidero, at the same time, urged them to obey the law and elect credible leaders in the August 8 poll.

He said the county government has set aside Sh500 million for the youth in the next financial year, adding that the kitty will be channelled through a registered Saccos of the matatu crews. EDS/MK/009/006/017

Kidero pledged to look at the challenges facing the Nairobi transport sector and look at previous decongestion reports, implement short and long term public transportation plans, introduce mass rapid transport and ensure peaceful co-existence within the CBD. The county chief also pledged to have a meeting with the county commander and traffic commandant next Thursday on constant arrest of the drivers and touts.
 
Dhuks

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
1,623
2,000
We need a governor who can chase matatus out of cbd, trash the BRT and embrace LRT. I don't think we have an elected official who would take such drastic actions unfortunately. Which is why the head of Nairobi should not be elected to start with
 
Lewis254

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
5,445

it is election period. play your cards safe. the matatu industry has employed many Kenyans. having different opinions that would demean them is bound to cost you votes... after getting elected in office, that is when you can rule with an iron fist. Kidero is just trying to act smart here
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
1,949
2,000
Sio kila kitu huwa lazima kitimizwe, kuna mengine inabidi kuyapangia kwa hatua.
Hatukurupuki kama nyie mlianza bandari ya Bagamoyo nafikiri imepita miaka kumi hadi leo hamjachimba chochote.
Bora sisi tumekamilisha SGR, sasa imebaki kuunga mjini ndani.
Greenfield airport project nayo mlikurupuka ama? Bandari ya Bagamoyo haina tija kwa nchi na mradi huo ni kama umeuliwa na JPM, huwezi kutumia $10b kisa unafurahisha watu wa nyumbani Bagamoyo.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
18,826
2,000
Greenfield airport project nayo mlikurupuka ama? Bandari ya Bagamoyo haina tija kwa nchi na mradi huo ni kama umeuliwa na JPM, huwezi kutumia $10b kisa unafurahisha watu wa nyumbani Bagamoyo.
Yeye mbona amekurupuka na uwanja wa kimataifa Chato, yaani pale Chato pana nini hadi uwajengee uwanja mithili ya JNIA.
Bora hata hiyo bandari ya Bagamoyo ambayo mkiipa mtandao wa usafiri bora unaounga kwenye barabara na reli mtakua mumepiga hatua ya mbali.
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
this guy huwa ni mjinga sana...nawashauri wakenya dont entertain this idiot called Kilam....maendeleo tunayo!! kenya Hoyee!!!
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
1,949
2,000
Yeye mbona amekurupuka na uwanja wa kimataifa Chato, yaani pale Chato pana nini hadi uwajengee uwanja mithili ya JNIA.
Bora hata hiyo bandari ya Bagamoyo ambayo mkiipa mtandao wa usafiri bora unaounga kwenye barabara na reli mtakua mumepiga hatua ya mbali.
Uwanja wa ndege wa Chato umeongezewa urefu wa runway tu ambayo ni gharama ndogo, huwezi kulinganisha na mradi wa $10b.

Nguvu zimeelekezwa kwenye kuimarisha bandari ya Dar na Tanga.

Dar Port savours double delight
 
Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,373
2,000
Unaanza kunitukana, nikikujibu matusi MK254 anaanza kunilaumu kuwa napenda kutukana.
haya umeshinda...sasa fyata...we want tanzanians with a brain to discuss important issues...soma pale juu uone thread inasema nini na ujiulize mambo ambayo umeleta hapa kama yana uhusiano wowote..plz just leave...we want brilliant discussions...not derailers
 
kilam

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
1,949
2,000
haya umeshinda...sasa fyata...we want tanzanians with a brain to discuss important issues...soma pale juu uone thread inasema nini na ujiulize mambo ambayo umeleta hapa kama yana uhusiano wowote..plz just leave...we want brilliant discussions...not derailers
Nilikuwa najibu post #5.
 
tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
11,901
2,000
Ili mjn kati kufikikekirahisi inabidi mzitie izo matatu uko lakini hayo yafate baada ya kuweka usafiri wa kisasa ,mkiweza BRT ndio itakua poa zaidi...maendeleo lazima yawaumize baadhi ya watu mfano tu apa Tz reli ya Dar to Moro iyo phase ikiisha itaathiri kwa kiasi kikubwa wamiliki wa mabus ambayo ni mengi sana yanayotoka na kuingia Dar kila wakati!! Lakini mkae mkifahamu itafika wakati hayo matatu muyaweke kando hayo vijana wanaweza jiongeza kufanya mambo mengine sio mwisho wa wao kuishi kenya ama Nairobi
 
BRT is a wrong idea in Nairobi, niliona vile iliwatesa, bora reli za mjini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom