Kidau Wilfred wa TFF aitwa makao makuu ya Uhamiaji kuhojiwa kuhusiana na uraia wake

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) , Kidau Wilfred ameitwa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kuhojiwa kuhusiana na Uraia wake.
Habari zaidi kuhusu nini kitajiri huko tuendelee kufuatilia mada hii.
 
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) , KIDAU WILFRED ameitwa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kuhojiwa kuhusiana na Uraia wake.
Habari zaidi kuhusu nini kitajiri huko tuendelee kufuatilia mada hii.

Hivi kidau si Mrundi yule na Patrick Kahemele Mnyarwanda?

Kwani haya ni mambo yasiyoeleweka? Labda kama wali naturalize!
 
Kuhojiwa uraia ni suala muhimu sana,kwanza inampa haki mtuhumiwa ajisafishe,pili inaonesha kuwa nchi sio pango la wahamiaji haramu
Heko uhamiaji kusoma Tanzania hakukupi uhalali wa uraia
 
Miaka ile alisoma Tabora boys
SIO TABORA BOYS NI MILAMBO NA ALIKAA BWENI LINAITWA NYERERE NA ALISOMA EGM NI MUHA WA KIGOMA SASA ZAIDI YA HAPO SIJUI ILA ALIKUWA MCHEZAJI MPIRA MZURI SANA WA MILAMBO WANAUME WAKATI HUO TABORA WAVULANA TULIKIWA TUNAWAFUNGA SANA PAMOJA NA KUJIFANYA WATOTO WA JESHI ILIKUWA RAHA SANA ENZI HIZOOOOO
 
Back
Top Bottom