Kidato cha tano chaguo la pili majina yametoka?

Tayari wameshachaguliwa ila kupangiwa shule bado wanasubiri mpaka September ili waone nafasi zitakazokuwepo kwa wanafunzi watakaoshindwa kuripoti ambao wamechaguliwa toleo la kwanza.so kwa uhakika zaidi subiri mwezi Wa 9 mwanzoni.
 
Je ni kweli watachaguliwa au ni uvumi tu??,, naombeni msaada wenu wakuu!.
 
Watachaguliwa ndio kwa sababu watakaoripoti kwa wale waliofaulu first selection si wote cause wengine washaanza kusoma private school na wengine wameapply vyuo kwa diploma. So Kama umetajwa second selection jiandae kwa shule mwezi Wa 9 mwanzoni Luqnation Tz
 
Tayari wameshachaguliwa ila kupangiwa shule bado wanasubiri mpaka September ili waone nafasi zitakazokuwepo kwa wanafunzi watakaoshindwa kuripoti ambao wamechaguliwa toleo la kwanza.so kwa uhakika zaidi subiri mwezi Wa 9 mwanzoni.
Hv ikitokea kuwa wanafunzi wote wa chaquo la kwanza walilipoti wote,...hao wa sec.selection itakuwaje???
 
kuchaguliwa kupo na majina ya watakao chaguliwa yashatoka ila bado hayajapitishwa ila yashatoka
 
yaani iko hiv ili second selection wapitishwe inatakiwa kwanza waloenda first selection wakamilike zkibak nafac yaan ambao hawakwenda first selection mfano walio enda prvate ndo nafac zao second selection wanachukua
 
Tenaa unaweza kichaguliwa shulee nzuri kuliko hata mtu aliefaulu na kuchaguliwa kipindi cha kwanzaa..!! So kuwa mvumilivu ilaa endelea kusomaa tuition mdogo mdogo
 
Huu ni udhaifu wa elimu wanaachwa kuwa hawana viwango kuchaguliwa tena I kuonyesha elimuvyetu dhaifu
 
Back
Top Bottom