Kidato cha pili hakuna mchujo!!

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
404
258
402c1ebfbc59911e0e201862bcd5e8a9.jpg
e939024f80480b72b75a6df841ac3a55.jpg
d6a9d431672d3209b049b184ba98c3f1.jpg
 
Upimaji wa kitaifa wa kati kutambua mapungufu kwenye ujifunzaji??!! Jama mbona hawajasema sasa ambao hawatafikia vipimo watasaidiwa vipi km hamna mchujo??
 
kama ndo hivyo mbona kama serikali inaweka maj ktk pakacha!! unapandisha viwango kuingia chuo alaf mchujo unatoa unategemea unapandisha elimu? alaf kuna watu utaskia sawa sawa hapo ndo elimu inapanda vilaza wengi sana humu
 
Sio kidato cha pili ni darasa la pili ndio wamefuta mchujo
Mtoa mada usidanganye watu na pia badili tittle yako
 
Back
Top Bottom