Kidato Cha NNE Kesho Wataanza Mitihani Ya Mwisho ya Taifa.....Katibu Mkuu NECTA awaasa kutojihusisha na udanganyifu


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,629
Likes
6,195
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,629 6,195 280
Watahiniwa 385,938 wanatarajiwa kutafanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne nchini.

Akizungumza leo Jumapili, Oktoba 29,2017 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema kati ya watahiniwa hao, 323,513 ni wa shule na 62,425 ni wa kujitegemea.

Dk Msonde amesema mtihani huo utaanza kesho Oktoba 30,2017 hadi Novemba 17,2017.

Dk Msonde amesema maandalizi ya mitihani yameshakamilika."Hivi ninavyozungumza mitihani imeshafika kwenye vituo.”

Amezitaka kamati za mitihani za mikoa na halmashauri kuhakikisha utaratibu wa uendeshaji wa mitihani unafuatwa.

Katibu mtendaji huyo amewataka wanafunzi kuacha vitendo vya udanganyifu wakati wa kufanya mitihani kwa kuwa wanaweza kufaulu bila kufanya hivyo.

"Mliyojifunza yanatosha fanyeni mitihani kwa kufuata utaratibu uliowekwa," amesema.

Dk Msonde amesema baraza hilo halitasita kuwafutia mitihani wote watakaojihusisha na udanganyifu.

- Mpekuzi
 
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
1,523
Likes
824
Points
280
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
1,523 824 280
Kila la kher kwa kidato cha nne
 
Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
3,901
Likes
3,098
Points
280
Age
48
Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
3,901 3,098 280
Haya
 
B

Bacary Superior

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Messages
3,700
Likes
1,397
Points
280
B

Bacary Superior

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2014
3,700 1,397 280
mitihan mema
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
7,754
Likes
8,998
Points
280
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
7,754 8,998 280
Hata Katika Ndoa Unaweza Kucheat ili Ndowa Yako Idumu!
By the Way! Kuna Group lolote la Watsapp Kwa Ajili ya Wanafunzi Wanaofanya Mtihani Kidato cha Nne?
 
Khalifa AM

Khalifa AM

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
859
Likes
954
Points
180
Khalifa AM

Khalifa AM

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2017
859 954 180
Ulichokipanda shule kwa miaka minne unakwenda kukivuna ndani ya masaa mawili na nusu.
 

Forum statistics

Threads 1,236,828
Members 475,301
Posts 29,269,286