ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 931
Wadau, yupo ndugu yangu ambaye anasumbuka kwa muda sasa na amejaribu vipimo sehemu nyingi. Ilianza kidogo kidogo sasa inamsababishia shida, hawezi kulala vizuri. Kichwani anasema anahisi kama kuna vitu vina nguruma na pengine sikioni na huwa ni kama kuna mvumo fulani na wakati mwingine anajisikia kizunguzungu kikali sana hata kuanguka.
Msaada kwa mwenye uzoefu wa hali hii.
Msaada kwa mwenye uzoefu wa hali hii.