Kichwa kinauma, nina miaka 30 sasa na ninamiliki vitu hivi tu

Mzee Mchochezi

Senior Member
Apr 3, 2018
126
242
Kila nikikaa na kufikiria kijana mimi,nachoka sana

Nikikumbuka wapi nimetoka,wapi nilipo na nikifikiria Maisha ya mbele na hali halisi ya Nchi yetu nabaki kushika tama

Sometimes nakaa nakufikiri nyuma naona kusoma sana kwa hapa nchini kwetu ni kujichimbia zaidi shimo la umaskini wa kutupwa hasa ukiwa umezaliwa na kukulia katika familia ya kimaskini pia

Kama kijana enzi za ukuaji wangu nilikua na ndoto kibao but kadri Siku na umri unavyozidi kusonga naona matumaini yanafifia,nikifikiria Sera za Nchi yetu kuanzi kijamii,kisiasa na kiuchumi naona nna hali mbaya sana kijana mimi ambaye sina hata ndugu japo wa kunishika mkono au Jamaa yoyote wa kunikopesha japo mtaji usio na riba

Miaka mingi ya kukaa darasani hadi kufikia elimu ngazi ya PGDE naona imenipotezea muda sana,najua kila jambo anapanga Mungu,ila kwa umri huu wa miaka 30 niliyonayo na nikifikiria miaka 7 au 8 ijayo nazidi kuchoka hasa kutokana na Sera mbovu za viongozi wa Nchi yetu katika nyanja mbalimbali hasa ya uchumi

Nimemaliza degree ya kwanza 2013 nikapiga mishe mishe za kupata hela ya kula na kulipa kodi,mwaka 2015 nikahitimu PGDE,kutokana na Sera mbovu za serikali vijana wote wenye professional ya ualimu wa arts tukapigwa chini.

Nikaanza safari ya mihangaiko ya kupata mkate wa kila siku hadi sasa sijapata sehemu ya uhakika japo ya mtaji wa biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

Kijana nagonga 30 years namiliki:-

kitanda na godoro

jiko la gesi

vyombo vya nyumbani

subwoofer

chumba cha kupanga

Nafanya kazi ya salary ndogo niliyopanga nidundulize ili mwisho wa mwaka nifungue hata kioski manake naona kuajiriwa ni kuzidi kujiweka katika umaskini na umri ndo unaenda

Tushauriane vijana wenye tatizo kama langu nini tufanye kujikwamua kiuchumi na kumiliki Mali kadhaa, umri unaenda jamanii hadi kumaliza utawala wa JPM tutakua tumesogea sana, so tupeane techniques za kufanya kupambana na hali hii hasa sie tusio na ndugu wa kutushika mkono
 
Kila nikikaa na kufikiria kijana mimi,nachoka sana

Nikikumbuka wapi nimetoka,wapi nilipo na nikifikiria Maisha ya mbele na hali halisi ya Nchi yetu nabaki kushika tama

Sometimes nakaa nakufikiri nyuma naona kusoma sana kwa hapa nchini kwetu ni kujichimbia zaidi shimo la umaskini wa kutupwa hasa ukiwa umezaliwa na kukulia katika familia ya kimaskini pia

Kama kijana enzi za ukuaji wangu nilikua na ndoto kibao but kadri Siku na umri unavyozidi kusonga naona matumaini yanafifia,nikifikiria Sera za Nchi yetu kuanzi kijamii,kisiasa na kiuchumi naona nna hali mbaya sana kijana mimi ambaye sina hata ndugu japo wa kunishika mkono au Jamaa yoyote wa kunikopesha japo mtaji usio na riba

Miaka mingi ya kukaa darasani hadi kufikia elimu ngazi ya PGDE naona imenipotezea muda sana,najua kila jambo anapanga Mungu,ila kwa umri huu wa miaka 30 niliyonayo na nikifikiria miaka 7 au 8 ijayo nazidi kuchoka hasa kutokana na Sera mbovu za viongozi wa Nchi yetu katika nyanja mbalimbali hasa ya uchumi

Nimemaliza degree ya kwanza 2013 nikapiga mishe mishe za kupata hela ya kula na kulipa kodi,mwaka 2015 nikahitimu PGDE,kutokana na Sera mbovu za serikali vijana wote wenye professional ya ualimu wa arts tukapigwa chini.

Nikaanza safari ya mihangaiko ya kupata mkate wa kila siku hadi sasa sijapata sehemu ya uhakika japo ya mtaji wa biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

Kijana nagonga 30 years namiliki:-

kitanda na godoro

jiko la gesi

vyombo vya nyumbani

subwoofer

chumba cha kupanga

Nafanya kazi ya salary ndogo niliyopanga nidundulize ili mwisho wa mwaka nifungue hata kioski manake naona kuajiriwa ni kuzidi kujiweka katika umaskini na umri ndo unaenda

Tushauriane vijana wenye tatizo kama langu nini tufanye kujikwamua kiuchumi na kumiliki Mali kadhaa ,umri unaenda jamanii hadi kumaliza utawala wa JPM tutakua tumesogea sana,so tupeane techniques za kufanya kupambana na hali hii hasa sie tusio na ndugu wa kutushika mkono
Toa Chumba cha kupanga wewe sio Mmiliki,mmiliki ni baba mwenye Nyumba wewe ni mkodishaji tu.

Hapo weka Mchumba kama unae hawe moja ya miliki yako ..
 
Tajiri mbona sijaona umiliki wa smartphone ina maana hata hiyo huna?nimecheka kama vile mazuri,unajua nini chalii yangu mimi na wewe hatuchekani sema mimi nimekuzidi nina mtoto,tupambane tu kumbuka life begins at 40,usikate tamaa bana
 
Back
Top Bottom