Kichwa kinaniuma upande mmoja

Mickabo

New Member
May 6, 2021
2
1
Jaman nipeni ushauri me nasumbuliwa na kichwa huwa kinauma upande mmoja sana na nikipima typhod hamna malaria hamna na hata damu haijazid na huwa situmii kachumbali wa chakula chabarid wala situmii maji machafu na nikinywa dawa za typhod huwa kinacha sasa sierewi ni nini.
 
Jaman nipeni ushauli me nasumbuliwa na kichwa huwa kinauma upande mmoja sana na nikipima typhod hamna malaria hamna na hata dam haijazid na huwa situmii kachumbali wa chakula chabarid wala situmii maji machafu na nikinywa dawa za typhod huwa kinacha sasa sierewi ni nini
Ok,

Pole sana...subiri Waje, wanafturu sasa
 
Jaman nipeni ushauli me nasumbuliwa na kichwa huwa kinauma upande mmoja sana na nikipima typhod hamna malaria hamna na hata dam haijazid na huwa situmii kachumbali wa chakula chabarid wala situmii maji machafu na nikinywa dawa za typhod huwa kinacha sasa sierewi ni nini
Kipandauso hicho, kuna jamaa yangu aliwahi kipata kufakamia mipombe siku fulani...sikumbuki aliponaje, nje ya box kilinipataga pia mwaka juzi tu hapo sikumbuki pia nilijinasua vipi.

Kukurahisishia ulizia dawa ya kipandauso haijalishi kwa wazee au pharmacy
 
Back
Top Bottom