Kichwa cha waziri au kamishna chaleta utajiri

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
235
baada ya kichwa cha mwenye kipara kuwa ni bonge ya deal sasa albino waganga wa jadi wanautumiwa na wafanyabiashara na wezi wa epa na kina liyumba sasa wanataka kichwa cha waziri serikalini au kamishna au mtu maarufu kukamilisha mazingaumbwe yao ili mambo yawe poa.
Kule mbuguni hawalali wakipanga mbinu kuwapata mawaziri na kuchukua kichwa ili mwamba utoe mambo.

sasa kazi kwa Pinda na kilio chake cha kizushi bungeni.Hata kichwa chake ni mali.
 
Mkuu,unaweza ukatupa data zaidi kuhusu hili?Maana jinsi ilivyo imekaa kama habari ya kijiweni kwa wacheza bao.
 
baada ya kichwa cha mwenye kipara kuwa ni bonge ya deal sasa albino waganga wa jadi wanautumiwa na wafanyabiashara na wezi wa epa na kina liyumba sasa wanataka kichwa cha waziri serikalini au kamishna au mtu maarufu kukamilisha mazingaumbwe yao ili mambo yawe poa.Kule mbuguni hawalali wakipanga mbinu kuwapata mawaziri na kuchukua kichwa ili mwamba utoe mambo.

sasa kazi kwa Pinda na kilio chake cha kizushi bungeni.Hata kichwa chake ni mali.

mzee u need to go for check up, i can sense some serious health problems..if you know what i mean
 
Imefika wakati tukemee kwa nguvu zote imani za kishirikina,pia kama taifa sio muda wa kudiscuss ushirikina maana tuna mambo ya msingi zaidi ya haya
 
Back
Top Bottom