Kichwa cha uume kuwa chekundu ni ugonjwa gani huu

Decoration

Member
Oct 27, 2018
63
88
Nikitoka kufanya mapenzi na manzi yangu kichwa cha uume wangu kinakuwa chekundu sana saa zingine nikienda tu haja ndogo.

Nilienda hosptal wakasema nina UTI sugu maana muda uliopita nilikwenda baada ya kuona nakojoa vitone vitone vyeupe kama maziwa yaani nikianza tu kukojoa natokwa na hiyo nyeupe nyeupe.

Kwanza hospital nilifanyiwa vipimo wakasema nina UTI sugu nikapewa dawa dozi ya vidonge vya siku 5 nilimeza nikawa sikojoi tena ile kitu kama usaha ila kwa mbali sana ikapungua nilikua nawashwa na sehemu za siri makende (p-u-m-b-u).

Muwasho ukapotea baada ya kumeza hizo dawa shida ni hii wekundu wa kwenye head ya penis inanipa shida leo mpenzi wangu baada ya kukutana naye kimwili kaniiza kwanini penis head yangu ni nyekundu namna hiyo hiri ni tatizo gani bandugu?

Mnipe ushauri na mawazo samahanini kwa maandiko yangu mabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi hospitali kwa uchunguzi zaidi. Na ni vyema mkaenda na huyo mpenzi wako ili nae akachunguzwe kitabibu.
 
Kama hautumii condom jaribu kuitumia Uone kama kutakua na mabadiriko basi shida itakua kwa huyo mpenzi wako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom