Kichuya type namba yako M-PESA au Tigo pesa,tukupe zawadi sh.500 kila mdau kwa ajili ya Juhudi yako

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
542
Wandugu wale wa chama langu,huyu Jamaa kama ni mchango alioonyesha ni mkubwa sana kwa Leo,sasa Luna Jamaa walikuwa wanampa hela uwanjani nikafikiria siyo vibaya kwa mechi tumchague mmoja ambaye kaonyesha mchango mkubwa wa ushindi wetu, tunaweza kumchangia h
Japo 500 kila mmoja mdau wa simba,atoe naomba yake ya M-PESA au Tigo pesa,hii ita ecourage vijana,SORRY WALE WA NJANO WA MAUMIVU PITENI TU PEMBENI
 
SIMBA SPORTS CLUB
S.L.P 5555
MSIMBAZI/DSM
25 FEB 2017

T F F
S.L.P 0001
KARUME/DSM

Ndugu,
YAH; KUCHEZESHA WACHEZAJI 9

somo tajwa hapo juu lahusika, kutokana na kasi mpya ya timu ya Simba ya 4G kuzishinda timu pinzani uwanjani, tunaomba turuhusiwe kuchezesha wachezaji 9 na kipa wa 10 uwanjani. Nimatumaini yetu ombi letu litakubaliwa.

Wako katika maendeleo ya soka
Haji S. Manala
Meneja Habari na Mahusiano
SIMBA SPORTS CLUB
 
Back
Top Bottom