Kichuya:Niliua off-side,ni mechi ya Mbeya City

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,062
103,257

Mchezaji wa Simba aliyefunga bao pekee katika mechi ya jana akiifungia timu yake ya Simba dhidi ya wenyeji Mbeya City ametolea ufafanuzi goli alilofunga jana

Goli hilo limezua mjadala katika mitandao ya kijamii baada ya uongozi na mashabiki wa Yanga kutuhumu kwamba mfungaji aliotea

Kichuya ambaye amekuwa akiifunga Yanga katika mechi tano mfululizo amesema kuwa refa alijiridhisha kuwa hakuotea

Akizungumza na Azam TV mara baada ya mchezo anasema aliwazunguka mabeki wa Mbeya City kwa mbele huku wao wakibaki kumtazama tu. Amefafanua kuwa kama angewazunguka mabeki kwa nyuma ilikuwa ni off-side dhahiri lakini trick aliyoifanya iliwachanganya mabeki

Anasema angeshangaa kama refa angekataa goli lake

Golikipa wa Mbeya City aliweka wazi kuwa Simba ni timu kubwa nchi hii ni lazima iheshimiwe
 
Haaa haaaa kweli kichuya alilitolea ufafanuzi bao lake.Kweli muoshwa uoshwa pia.
 
Ila Azam TV inabidi waongeze kamera uwanjani maana kamera kuondoa utata kama wa mechi ya jana.Tuonyeshwe mpira kwenye pande nyingi za uwanja.
 
Mchezaji wa Simba aliyefunga bao pekee katika mechi ya jana akiifungia timu yake ya Simba dhidi ya wenyeji Mbeya City ametolea ufafanuzi goli alilofunga jana

Goli hilo limezua mjadala katika mitandao ya kijamii baada ya uongozi na mashabiki wa Yanga kutuhumu kwamba mfungaji aliotea

Kichuya ambaye amekuwa akiifunga Yanga katika mechi nne mfululizo amesema kuwa refa alijiridhisha kuwa hakuotea

Akizungumza na Azam TV mara baada ya mchezo anasema aliwazunguka mabeki wa Mbeya City kwa mbele huku wao wakibaki kumtazama tu. Amefafanua kuwa kama angewazunguka mabeki kwa nyumba ilikuwa ni off-side dhahiri lakini trick aliyoifanya iliwachanganya mabeki

Anasema angeshangaa kama refa angekataa goli lake
Upuuzi huu. Yeye Kazi yake kucheza na kufunga, basi. Ufafanuzi tunamsubiri mwamuzi bora Haji Manara.
 
upload_2017-11-6_7-54-35.png
 
Back
Top Bottom