Kichomori hivi alikuwa ni nani kipindi kile cha mwalimu nyerere!

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
490
763
Wakuu najua ninyi ni wengi wa maujuzi na maarifa.

Niko hapa nansikiliza mzee wasiri kutoka mwitongo butiama, katika mazungumzo yake nimesikia amemtaja mtu mmoja aliyeitwa kichomori kutoka kijijini butiama.

Naona kumjua huyu kichomori alikuwa ni nani? Enzi za mwalimu
 
Back
Top Bottom