SONGEA
Senior Member
- May 29, 2008
- 101
- 8
Ningeomba unijuze tofauti iliyopo kati ya wanyambo na wahaya!!Kama hujarudi kulekule!!
Nadhani atakuwa amekuelewa ngoja tumpe mda atatujibu ili upate ufahamu mzuri kuhusu wanyambo!!
Mimi ni MNYAMBO. Nashangaa maana ya mjadala huu maana sisi Wanyambo tunasema kuwa ni Wanyambo huyo/hao wanaokataa ni kiasi cha kuachana nao maana sisi ndio tunatakiwa kusema kuwa ni Wanyambo au Wahaya kama hao wanavyotaka. Kama hawataki kukubalu ni vigumu kuwalazimisha. Sisi tunajijua kuwa ni Wanyambo na kila wakati tutajitambulisha hivyo!