Kichekesho Cha Leo: Mama Salma Kikwete: "Msinitenganishe na Mume Wangu"

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Katika hali inayoonesha kuwa kweli suala la Urais wa JK ni la kifamilia zaidi, Bibie Salma Kikwete ameghadhabishwa na watu wanaoponda tabia yake ya kutumia mali za umma kumfanyia kampeni muumewe.

Bi Salma ametamka hayo katika moja ya kampeni zake za "Ndani Kwa Ndani" huko Bukombe na kuwataka watu hao kuwa waache tabia hiyo kwani watu hao wanataka kuharibu ndoa yake halali.

My Take:
==================================================================

Hii sasa ni kali. Kwa hiyo Salma ameagizwa na muumewe kupiga kampeni, la sivyo hakuna ndoa.

This is no blue Monday any more!!!

Tukachape kazi.

Dr. Slaa For Life!!!!
 
My Take:
================================================== ================

Ndoa ya JK na Salma tutainusuru kwa kuhakikisha ya kuwa tunawatimua Ikulu ili waweze kutumia muda mwingi pamoja. Kazi ya Uraisi yelekea inawatenganisha na muda mwingi hawapo pamoja na hiyo siyo dalili nzuri kwa wanandoa hao.
 
Katika hali inayoonesha kuwa kweli suala la Urais wa JK ni la kifamilia zaidi, Bibie Salma Kikwete ameghadhabishwa na watu wanaoponda tabia yake ya kutumia mali za umma kumfanyia kampeni muumewe.

Bi Salma ametamka hayo katika moja ya kampeni zake za "Ndani Kwa Ndani" huko Bukombe na kuwataka watu hao kuwa waache tabia hiyo kwani watu hao wanataka kuharibu ndoa yake halali.

My Take:
==================================================================

Hii sasa ni kali. Kwa hiyo Salma ameagizwa na muumewe kupiga kampeni, la sivyo hakuna ndoa.

This is no blue Monday any more!!!

==================================================================

Tukachape kazi.

Dr. Slaa For Life!!!!

Mbali na hilo yeye mama amekili na ameona alama za nyakati kuwa Vijana wengi hawakipendi CCM na amewasiii mama wa vijana hawa wa kitanzania kuwaelezea mazuri ya CCM kwani vijana hawa hawajaona ni nini CCM imekifanya na matokeo yake Vijana wengi wanaelekea upinzani.

Sasa kama mama Salama amelijua hilo na amekili kuona alama za nyakati iweje hao REDET NA SYNOVATE watupe tathimini yao hiyo kuwa JK anashinda kwa asilimia kubwa wakati fika mwajua vijana wengi nchi hii ndio wapiga kura na pili wanachuo wengi mumewarudisha home sasa huo utafiti mume jumlisha na wingi wa wanafunzi mavyuoni ambao kwa asilimia kubwa hawatopiga kura au?

Jethro ameuliza swali la msingi kwa kaka mama Salma amejua kama vijana hawaipendi CC vipi Synovate? Inawezekana sample ya Synovate ni Wazee waasisi wa TANU.This is another generation of voters which does not know mambo ya TANU
 
Katika hali inayoonesha kuwa kweli suala la Urais wa JK ni la kifamilia zaidi, Bibie Salma Kikwete ameghadhabishwa na watu wanaoponda tabia yake ya kutumia mali za umma kumfanyia kampeni muumewe.

Bi Salma ametamka hayo katika moja ya kampeni zake za "Ndani Kwa Ndani" huko Bukombe na kuwataka watu hao kuwa waache tabia hiyo kwani watu hao wanataka kuharibu ndoa yake halali.

My Take:
==================================================================

Hii sasa ni kali. Kwa hiyo Salma ameagizwa na muumewe kupiga kampeni, la sivyo hakuna ndoa.

This is no blue Monday any more!!!

==================================================================

Tukachape kazi.

Dr. Slaa For Life!!!!

Kama namuona vile!!! Utadhani anaongea na watoto wa chekechea.... Au anakumbukia enzi zake!!! Najaribu kupata pichaaaaaa.. waliokuwepo walicheka ama walilia?
 
Back
Top Bottom