Kichekesho cha kumfananisha Godbless lema na Nelson Mandela

wapo waluouawa kama Stive Biko,Joe Slove na wengine kama O.R.Tambo ambao Mandela mwenyewe katika hivyo vichwa hawezi kufananishwa nao hao ndio zaidi...
 
Watanzania bana kwa kujitekenya sijui hili suala la kumfananisha huyu mlopokaji na baba wa taifa la Africa kusini.
Si watanzania, yeye ndo kiki yake hiyo eti anasema mawakili wasjisumbue kumtetea yeye atasota tu rumande, hivi ye anahisi Mandela alikuwa akitumia njia hyo? Atakuja kujutia baadaye, nawahurumia familia yake.
Sa hivi anaona ni sifa eti aje kusema nilisota kwa ajili yenu wananchi,,,,,hajui kuwa maisha nje yanaendelea, ataishia huko tu ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,mwishowe akifanyiwa ka mziki flani ka singeli hivi ameimba kijana mmoja,,,,,,,ndo atajua kuwa kila mume asimame katika zamu yake na si kufata mkumbo eti kufungwa nikuonesha ujasiri.
POLE FAMILIA YA LEMA
 
Back
Top Bottom