Tofauti kati y kichaa na Mwehu ni hivi Mwehu ni nusu ya kichaa,na kichaa kipo cha aina 2 kichaa cha kwanza ni kile cha kufanya fujo, mimi huwa nakiita Kichaa cha joto la mwili, na kuna kichaa cha kutulia kichaa cha tabia ya baridi yaani kwa jina hilo la Mwehu kichaa hicho ni kizuri hicho kichaa unakuwa huwasumbuwi Watu. Ninafikiri umenielewa Mkuu.
Je na mwendawazimu?Tofauti kati y kichaa na Mwehu ni hivi Mwehu ni nusu ya kichaa,na kichaa kipo cha aina 2 kichaa cha kwanza ni kile cha kufanya fujo, mimi huwa nakiita Kichaa cha joto la mwili, na kuna kichaa cha kutulia kichaa cha tabia ya baridi yaani kwa jina hilo la Mwehu kichaa hicho ni kizuri hicho kichaa unakuwa huwasumbuwi Watu. Ninafikiri umenielewa Mkuu.
Nimekusamehe bintiSijui ila nadhani mwenda wazimu ni jina ambalo limemeza kichaa na wehu. kwa hivo mwendawazimu anaweza kua kichaa (cha kwanza au cha pili) kama vile anaweza kua mwehu. Nimejisemea tu, sina uhakika
Kichaa ni wale wa kawaida tunaowaona majalalani n.k Mwehu unaweza kumkutawadau kama kuna mtu anaweza kunipa tofauti halisi ya hawa watu watu wawili...kichaa na mwehu.
duh! na wanaopigia chahema watakuwa wendawazimu eti enh!Kichaa ni wale wa kawaida tunaowaona majalalani n.k Mwehu unaweza kumkuta
kavaa suti n.k lakini hana uwezo wa kuamua mambo, mfano Watanzania wote
wanaoipigia kura CCM ni wehu!
Ha ha haaa Washabiki wa Arsenal Vichaa, Man U wenda....., Chelsea Wehu Liverpool ndo wazimaduh! na wanaopigia chahema watakuwa wendawazimu eti enh!
sawa burnerHa ha haaa Washabiki wa Arsenal Vichaa, Man U wenda....., Chelsea Wehu Liverpool ndo wazima
yaani inategemea tu na mtazamo wako sina maana ya nilivyoandika.
Mwendawazimu ni yule mtu ambaye ni mgonjwa haswa wa kichaa anayeokota okota vitu majalalani na kula vitu hivyo vya majalalani anayevaa nguo mbovu mbovu anaweza kufanya fujo wakati wowote ule na kupiga makelele kila wakati.Je na mwendawazimu?
Mwendawazimu ni yule mtu ambaye ni mgonjwa haswa wa kichaa anayeokota okota vitu majalalani na kula vitu hivyo vya majalalani anayevaa nguo mbovu mbovu anaweza kufanya fujo wakati wowote ule na kupiga makelele kila wakati.