X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,620
- 1,796
Madaktari wa vichaa katika Hospitali moja ya vichaa katika jiji la London, walikutana siku moja kujadili kifo cha mwendawazimu mmoja
baada ya kugundua kuwa amejinyoka masaa machache baada ya madaktari na manesi kufanyakazi ya ziada kumuokoa asizame kwenye moja ya mabwawa ya kuogelea yaliopo pale hospitali
mmoja wa kati ya waliosaidia kumuokoa mwendawazimu yule aliyejinyonga ni mwendawazimu aliyekuwa anaonekana kuwa ana afadhali kuliko wengine
Baada ya madaktari kukutana mahojiano ya yule kichaa mwenye afadhali yalikuwa kama ifuatavyo
Daktari: Mr xxx tunasikitika kukwambia kuwa, yule rafiki yako uliyemsaidia asizame kwenye swimming, amekutwa amejinyonga muda mchache baada ya kumuokoa na ameaga dunia
Yule Kichaa akamkatiza daktari na kumjibu daktari kama ifuatavyo
Hapana bwana daktari rafiki yangu NIMEMTUNDIKA MWENYEWE KWENYE KAMBA ILI AKAUKE MAANA ALIKUWA AMELOWA SANA .