Kichaa avamia s/msingi aua mwanafunzi,walimu wacharangwa mapanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kichaa avamia s/msingi aua mwanafunzi,walimu wacharangwa mapanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUDO, Nov 1, 2011.

 1. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  MTU anayedaiwa kuwa mgonjwa wa akili amevamia shule ya msingi Kabutaigi wilayani Muleba na kumuua mwanafunzi wa darasa la nne na kisha kuwajeruhi walimu wawili kwa mapanga.
  Mkuu wa Wilaya hiyo Angelina Mabulla ametbitisha kufanyika kwa mauaji. masikitiko.png

  Hali ya masikitiko kijijini hapo
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huyo kichaa bado yuko hai?
   
 3. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  nimepata hii taarifa,Kichaa naye kapondwa kwa mawe hadi kufa !
  maiti 2,majeruhi 2,nyumba kuchomwa moto
   
 4. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh!
  Walau sasa habari imekamilika. Pole kwa wafiwa na majeruhi kwa ujumla wao.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  dah inasikitisha saaana! Kweli hii serikali ni legelege km kinyesi cha ngedere inaacha vichaa wanarandaranda mitaani na kudhuru wananch, hp Motown kn kichaa alimbaka nesi live mchana kweupeee maskini yule nesi alikunywa sumu akafa.
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  pole kwa wafiwa na majeruhi pia...........M/Mungu ailaze roho ya marehemu kijana wetu peponi
   
 7. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah! huyu kichaa ameleta hasara kwenye familia, kuzaa mtoto na kumlea adi kufika darasa la nne si kazi ndogo. Lkn hii ya Nesi kubakwa na kichaa adhari nayo ni kubwa kuliko duuuuh!!
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,482
  Likes Received: 12,748
  Trophy Points: 280
  Aaaah rip wafiwa wote mpaka wa huyo kichaa
   
 9. C

  Chibwera Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu awapumzishe kwa amani marehemu wote, awajalie kupona haraka waliojeruhiwa
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya shule kuzungushiwa uzio na kuwekwa walinzi.
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mungu awape pumziko la milele na kuwafariji wafiwa waTZ sasa tumeshikilia roho zetu mikononi
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Best! Hii serikali legelege kama hii ya JK wanasikia ki2 kama hicho. Rest In Peace kijana wetu na waliojeruhiwa poleni na MUNGU awazidishie nguvu mpone mapema.
   
Loading...