Kichaa..____.. Mimba.....

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Habari wana JF wenzangu? Naimani mmeianza weekend vyema,

Nduguzangu mie kunajambo ningependa kufahamishwa inakuaje hapa, nimepata kushuhudia baadhi ya vichaa/wagonjwa wa akili wakiwa wajawazito, sasa swali inakuwaje hapo. Hv kunamtu na akilizake anaweza kufanya mapenzi na vichaa/kichaa?? Au ni kitu gani huwa kinawapata?

Nawasilisha...
 
Inahitaji kichaa kumtia mimba kichaa mwenzake.

Jiulize hivi.... daktari wa kiume anambaka mama aliyetoka kujifungua
Baba anamtaka mfanyakazi wake wa ndani anayemlelea watoto wake!
Baba anambaka binti yake wa kumzaa....
mwanaume anabaka kitoto kidogo cha miaka 5,6....
Mwanaume anabaka ajuza wa miaka 80! AMBAYE HATA HAKUMBUKI TENA HUO MCHEZO UKOJE maana alishaachaga kama miaka 30 iliyopita.
Halafu bado unashangaa?

Jibu ni kuwa kwenye sex wanaume wengi hawana tofauti na vichaa!
 
mmimi huwa nasema kila siku kuwa katika miujiza ya dunia
basi sisi wanaume ni miujiza tosha

yaani mwanamke kuolewa ni bahati lakini kufa bikira ni impossible lol
huo ni muujiza tosha
 
fafanua Boss

kama alivyosema muanzisha thread
mwanamke kichaa but ana mimba
wapo omba omba,walemavu,vichaa,na kila aina ya wanawake ambao wanatafuta
wanaume wa kuwaoa but hawapati mpaka wanakufa....but hawafi mabikira

muujiza upo hapo kwamba hakuna mwanamke mwenye shida ya mwanaume wa ku do
in fact kila mwanamke anajua nani amtafute ili a do...na hata kama ni kichaa kuna kidume kitafanya kila namna kita do nae

take it this way no vagina is returned untouched hata awe mbaya vipi,mchafu vipi.....huo ni muujiza aisee
 
Inahitaji kichaa kumtia mimba kichaa mwenzake.

Jiulize hivi.... daktari wa kiume anambaka mama aliyetoka kujifungua
Baba anamtaka mfanyakazi wake wa ndani anayemlelea watoto wake!
Baba anambaka binti yake wa kumzaa....
mwanaume anabaka kitoto kidogo cha miaka 5,6....
Mwanaume anabaka ajuza wa miaka 80! AMBAYE HATA HAKUMBUKI TENA HUO MCHEZO UKOJE maana alishaachaga kama miaka 30 iliyopita.
Halafu bado unashangaa?

Jibu ni kuwa kwenye sex wanaume wengi hawana tofauti na vichaa!
futa kauli mama! Inamaanisha vichaa wakiume huwa hawapew mzigo na wanawake timamu?
 
The Boss bwana, hizo v zinarudishwa wapi? Ah hii thread imenikumbusha primary, shuleni kwetu kulikuwa kuna mama mmoja kichaa lakini alikuwa anazaa watoto wazuuuri hao!
But huyu watoto wa kijiweni, wavuta bangi na walinzi wa sehemu alizokuwa analala ndio waliokuwa wanamzalisha.
 
Inawezekana kichaa alitaka mchezo mwenyewe na akapewa haki yake ya msingi
 
Mkuu mbona hio ipo wazi....

tunabeba mizigo mingine kwa matakwa yetu yenyewe...........tamaa zisizo na mipaka....................kupenda bwerere...................chapuchapu..........bila ya majukumu kuyakumbatia......................na uozo unaofanana na huo......
 
The Boss bwana, hizo v zinarudishwa wapi? Ah hii thread imenikumbusha primary, shuleni kwetu kulikuwa kuna mama mmoja kichaa lakini alikuwa anazaa watoto wazuuuri hao!
But huyu watoto wa kijiweni, wavuta bangi na walinzi wa sehemu alizokuwa analala ndio waliokuwa wanamzalisha.

kwahyo hali hiyo ni karibu maeneo yote ya Tz? Sasa huyu mama akijifungua inakuaje hapo mkuu, is she taking care to her chirld??
 
Inahitaji kichaa kumtia mimba kichaa mwenzake.

Jiulize hivi.... daktari wa kiume anambaka mama aliyetoka kujifungua
Baba anamtaka mfanyakazi wake wa ndani anayemlelea watoto wake!
Baba anambaka binti yake wa kumzaa....
mwanaume anabaka kitoto kidogo cha miaka 5,6....
Mwanaume anabaka ajuza wa miaka 80! AMBAYE HATA HAKUMBUKI TENA HUO MCHEZO UKOJE maana alishaachaga kama miaka 30 iliyopita.
Halafu bado unashangaa?

Jibu ni kuwa kwenye sex wanaume wengi hawana tofauti na vichaa!

Nilijua mwanzo wa senteso zako, lazima mwishoni mwanaume atukanwe tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom