Kibwana Dachi wa channel ten kumbe pia ni traffic police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibwana Dachi wa channel ten kumbe pia ni traffic police

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chakarikamkopo, Sep 27, 2012.

 1. c

  chakarikamkopo Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Majira ya Mchana leo 27th September 2012 Maeneo ya Mnazi Mmoja magari yalisongamana sana kwenye makutano karibu na Police Post na kusababisha foleni ndefu sana ndipo Kibwana Dachi alipoingilia kati na kuongoza magari, kwa muda mfupi tu akawa ameondoa foleni ndefu sana. Hongera sana mkuu kwa moyo wa kujitolea......Polisi Jamii@work

  PS. Ignore tarehe kwenye picha, kamera ilikuwa haijarekebishwa tarehe
  Source: Facebook page
   

  Attached Files:

  • 001.JPG
   001.JPG
   File size:
   1.4 MB
   Views:
   278
  • 002.JPG
   002.JPG
   File size:
   1.2 MB
   Views:
   227
  • 003.JPG
   003.JPG
   File size:
   1.3 MB
   Views:
   159
  • 004.JPG
   004.JPG
   File size:
   1.3 MB
   Views:
   548
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Polisi Jamii mzuri huyo. si lazima kusimamia ustarabu uwe polisi, hata mwananchi raia ana wajibu huo.
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Anatafuta UDC huyo ana lolote....Siku hizi ameanza kuboa kwenye kipindi cha Morning Magic! Anajifanya anajua kila kitu kama Kibonde wa Clouds!
   
 4. c

  chakarikamkopo Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi eeh ehhh.................
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  hana lolote huyo ni mganga njaa kama kibonde tu....
   
 6. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Safi Dachi lazima Polisi wajue raia wakiezeshwa wanaweza kuisimamia sheria
   
 7. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye blue umeuliza? Au umeeleza?
   
 8. k

  katalina JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani polisi wenyewe wanatafuta UDC! Dhana potofu.
   
 9. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Both nimeuliza na kueleza
  l
   
 10. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Do u mean Police?? Policeman?? or Traffic Policeman??

  Please Back to school..
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Haya traffic wetu wako wapi muda huo? Maana pale kweli panasumbua ila hutawaona pale.
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ukisikia mambo ya mgema na tembo ndio hayo sasa..
   
 13. M

  Mchaga HD Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani si umemwelewa.?wewe ndo uwende back to school,kama kila kitu unataka utafuniwe.
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sikua najua kama siku hizi ana akili kama za KIBONDE
   
 15. p

  pilau JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ............ mambo mawili kwanza anatafuta umaarufu pili kwa asili yake Mzazi wake alikuwa askari wa magereza wa cheo cha juu bila shaka ni mtoto wa quota
   
 16. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  hongera Kibwana Dachi.
   
 17. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Hivi hii mikokoteni si ilishapigwa marufuku city centre? au ndio wanaitunishia misuli serikali....
   
 18. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  jambo jema huwa halipingwi linajijulisha lenyewe hakuna uhusiano wa cheo na huduma. Hongera Dachi
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Majira ya Mchana leo 27th September 2012! Mbona picha ni za tarehe 5/1/2007!!!!!
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,703
  Trophy Points: 280
  Hata bodaboda zilizuiwa lakini ndo hivyo tena...
   
Loading...