Kibwana Dachi, ni nani huyu?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,847
2,668
Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu

Yupo katika uandishi kwa muda mrefu, ni mcheshi na muongeaji si mtu mwenye kukasirika ovyo na anapenda kubusu na kukumbatia waandishi wa kike hii haina maana yeye ni kiwembe.

Yupo katika uandishi kwa muda mrefu, ni mcheshi na muongeaji si mtu mwenye kukasirika ovyo na anapenda kubusu na kukumbatia waandishi wa kike hii haina maana yeye ni kiwembe.

tuwekee foto lake mkuu

Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu

huyu mzee namkubali sana nisipo msikia huwa najisikia vibaya. Pamoja na baba shikunzi huku pembeni kuna mr. Ok hawa jamaa wapo juu napenda sana kipindi chao.

huyu mzee namkubali sana nisipo msikia huwa najisikia vibaya. Pamoja na baba shikunzi huku pembeni kuna mr. Ok hawa jamaa wapo juu napenda sana kipindi chao.

ni kweli mkuu. Hiyo kombineshen imekaa poa sana. By default asubuhi huwa nasikiliza kipindi hiki. Na nikitoka mzigoni huchuni 92.9 kumsikiliza huyu 'zaidi ya habari'

kibwana.jpg huyu kushoto ndiye kibwana Dachi alikuwa zamani mpigapicha wa channel Ten kwa muda mrefu, then akaendelea kujiendeleza na akapata scholarship ya wamarekani kwenda kufanya kazi kule kwa mwaka ama miaka miwili dont remember
lakini hapa chini nimekurahisishia A photojournalist with Channel TEN, Kibwana Mustapha Dachi, has been selected to attend a two-week International Visitor Leadership Program (IVLP) on "TV Broadcast Journalism" July 19 through 31, 2009. The IVLP is run by the U.S. Mission on behalf of the American people to facilitate personal and professional contacts between the people of the United States and the people of Tanzania. When asked about this program, Mr. Dachi stated, "It will help me sharpen my broadcasting skills and understand the meaning of media freedom in a country viewed as a pioneer of journalists' rights." Dachi will join 24 other participants from all around the globe including Brazil, Bulgaria, Cote D'Ivoire, Czech Republic, Egypt, Georgia, Guatemala, Israel, Kosovo, Lebanon, Lesotho, Malaysia, Mexico, Morocco, Nigeria, Pakistan, People's Republic of China, Russia, Senegal, Sri Lanka, Turkey, Ukraine and United Kingdom.

Ni kweli ni mtu ambaye anapenda kuzungumza na watu ama mtu wa watu hata mimi amenisaidia katika makuzi yangu ya fani ya habari!!

Dah! Hiki kipindi ni kizur sana, yan ukisikiliza hata cku moja, ukijakuwekewa power breakfast ya clouds utaona wakina geraid ni wapuuzi. Kwanza huyu mzee anajua kila kitu, anakuanzia historia ya mada husika, unapata uelewa balabala,pemben kuna baba shikuzi akileta miyeyusho yake bas asubuh inakamilika pouwa kabisa.

Hili ni jembe na kila likitoka studo lazima lilimwe zawadi na Mr Orest Kawau aka OK, na Magic ndo imekuwa Raddio yangu default baada ya kuipiga chini Clouds kutokana na vipindi vyao vya hovyohovyo.

uzuri wa KD anakumbukumbu nzuri sana za matukio ya zamani...hata ndipo nahakikisha kwamba.." EXPIRIENCE IS THE BEST TEACHER EVER"

Mlendamboga nashukuru kwa picha na maelezo ya kutosha. The guy is a news icon

Magreat-thinkers wa zamani humu jf walikuwa wanajibu/wanachambua mambo kama Kibwana Dachi...unaondoka humu ukiwa umeshiba habari.. lakini siku hizi sijui nini kimetokea!? Namkubali sana jamaa kwa uchambuzi wake huru na unaozingatia maadili.

Mimi namkumbuka jamaa miaka ya 99 tulipokuwa tunakutana kule Sinza, enzi za DTV akiwa na akina Chris na Dina Chahali, yuko sawa jamaa huyu, bravooooooooooo

Napenda pia namna yake ya uongeaji. Utadhani hayupo vile kumbe ndo ana flow. Kanifurahisha leo jinsi socrates (sokrates) alivyomjibu cleopatra, kuwa 'mtoto unayetaka nizae nawe anaweza pia kuwa na sura mbaya kama mimi na akili mbovu kama yako'

kuan swali aliuliza jumanne septemba 20, kuna sheria inayosema kuwa mtu anayegombea urais awe na mke (yaani mwanandoa)? wewe ungemjibu nini?

Back
Top Bottom