Kibuyu Mwaa

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,260
Wandugu salaam,
hii ipo kama jokes lakini ni habari ya kweli ambayo imetokea hivi karibuni hapa mjini,

Kuna kijana alitoka kijijini akaja hapa dar kwa mjomba wake, baada ya kukaa kama siku tatu akapata fursa ya kuja kututembelea kijiweni ndipo alipoanza kutupa stori za pale kwa anko wake; kuwa alipoingia ndani akakuta kikebe kipo ukutani, kwa kuwa hakuwa anajua kazi ya kile kikebe akakiacha lkn muda ulivyokuwa unaenda akaona haiwezekani aendelee tu kukiangalia kile kikebe ndipo alipokisogelea na kukigusa, basi ilipokigusa tu kikebe kibuyu mwaaaaa,alituacha njia panda ndipo baadae tukaja kugundua kuwa hicho kikebe kumbe ni switch,na kibuyu ni balbu,sielewi alitokea pande zipi za Tanzania!!
 
Nadhani ni joke iende kuleee kunakostahili lakini sidhani hata kuna mtu ataona kam ni funny kweli haijakaa kihivyo kabisa yaani
 
Wandugu salaam,
hii ipo kama jokes lakini ni habari ya kweli ambayo imetokea hivi karibuni hapa mjini,

Kuna kijana alitoka kijijini akaja hapa dar kwa mjomba wake, baada ya kukaa kama siku tatu akapata fursa ya kuja kututembelea kijiweni ndipo alipoanza kutupa stori za pale kwa anko wake; kuwa alipoingia ndani akakuta kikebe kipo ukutani, kwa kuwa hakuwa anajua kazi ya kile kikebe akakiacha lkn muda ulivyokuwa unaenda akaona haiwezekani aendelee tu kukiangalia kile kikebe ndipo alipokisogelea na kukigusa, basi ilipokigusa tu kikebe kibuyu mwaaaaa,alituacha njia panda ndipo baadae tukaja kugundua kuwa hicho kikebe kumbe ni switch,na kibuyu ni balbu,sielewi alitokea pande zipi za Tanzania!!
Huyu atakuwa wa Kishumundu...........
 
Unaona hatari hiyo mzee?? mbona kila mtu ana ushamba wake...hata wewe kuna sehemu umeshawahi kushangaa...usimhukumu kwa ushamba kila kitu au mtu anaushamba wake hata mie ninao....na kutoka kijijini kila mtu katoka kijijini...wewe ukienda kwa mfano pande zingine endelevu utakuwa mshamba vile vile..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom