Kibonzo: Hali ya Profesa Lipumba ofisini Buguruni inatia "huruma"

Huyu anafanya haya na Haguswi, Mliona Polisi Juzi Wakiwakamata Watu aliodai Wanakuja Kumfanyia Lipumbavu Fujo, Lakini Lipumba na Wahuni Wenzake ambao Ndio Wanaovunja Sheria Hawaguswi. Hata waliotaka Kuteka na Kuuwa Mhasibu husikii walifanywa Nini. Na Lipumbavu hawaguswi na Polisi Kwa Kuwa ametumwa na Magufuli Kwa Mgongo wa Msajili Kufanya Ushenzi anaoufanya, Kwanini Nasema Hivi? Ingelikuwa Ni Msajili Peke yake, Polisi wako chini ya Msajili? Bado wangeweza Kulinda Amani Kama wanavyojitapa (Wameambiwa wasimguse na Msajili hatumagi polisi)

Ningekuwa Mimi Ndio Akina Seif na Mtatiro, Lipumbavu angeshakuwa Swahiba wa Kolimba siku Nyingi. Maana huu Uhuni Unaoendelea Tanzania na Afrika Ni Kama Ule wa Dawa ya Jipu Ni Kulitumbua, Upole na Kubembeleza Hausaidii tena. Na Wapinzani Wajue Mapema Wahairishe Mapema Kutumia Ubunge Kama ajira Maana Kama Wana akili Kuingia Uchaguzi 2020 Na CCM ambao wameshapora Nchi ya Kuifanya yakwao, Itakuwa Ni Kuwahalalishia Ushindi Bandia!
 
Ilikuwa kama utani,lkn sasa ni ukweli kuwa Prof Haruna Lipumba habanduki Ofisi za Chama Buguruni kwa woga wa "kupoteza" kiti chake.Sasa Prof analala na kuamka humo humo bila kutoka.Ndani ya jengo la ofisi hizo,vyumba vingi vya ofisi kwa sasa si ofisi tena bali ni vyumba vya kulala walinzi na mabaunsa wa kulimlinda Professeri.Mlangoni kufuri lukuki kama geti la magereza

Buguruni haaingiliki,ni mwendo wa mundu,shoka na mapanga ndani ya ofisi.Hali hii viongozi wa Mpito wa CUF wanasema wametoa taarifa polisi na hakuna hatua zinazochukuliwa.Ujio wa Maalim Seif,Wabunge na viongozi wa muda umeshindikana baada ya kupata taarifa kuwa ndani ya jengo hili kuna kambi ya "karate",kunfuu na judo ya vijana ambao ni "walinzi" wa jengo na Profesa ambao wanasubiri kwa hamu wale waliomuondoa Lipumba wasogee wapate cha moto.

Sasa ni tetesi,CUF ya kina Mtatiro imerudisha jengo kwa mmliki ambae nae ametoa siku kadhaa kutaka jengo lake na hivyo Lipumba kutakiwa kuhamisha "makao" yake na kwenda sehemu nyingine kutafuta ofisi.

Ama hakika hali ya Buguruni bado si shwari...Lipumba analala na kuamka,anaoga na kupauka bila kutoka nje ya uzio wa ofisi hizo.Kweli kila siku Afrika,ajabu jipya huzaliwa.
View attachment 409660
Mchumi namba moja ameamua kutumia taaluma yake vizuri-kuishi bure.
 
Huyu Prof si mshauri mwelekezi wa masuala ya Uchumi,......au siyo huyu.....maana nijuavyo KAZI ya Mshauri mwelekezi INALIPA sana hasa mwenye elimu hiyo na Uzoefu wa kitaifa na kimataifa...YANINI anahangaika una UCHAIR wa chama, tena ambacho hakijashika Dola?
 
Ushawahi kumuona mke wa lipumba hata gazetini ?
Msiwadhalilishe wanawake, Hivi Mwanamke Nani ataishi na Msaliti Kama Lipumba, si sikumoja atampimpu ili apate pesa. Halafu hili la Kumwita Professor! Lipumba siku zote nilikuwa Nikimsikiliza najua hamuna! sawasawa na Yule Dokita Nanii, Hamuna, Ni Usanii tu!
 
Back
Top Bottom