Kibonzo cha Kipanya Leo, alie elewa kinachomliza huyu mtoto licha ya Baba yake kumpa uji na maziwa

Imeeleweka hiyo, asubiri ADHABU yake ifikapo Oktoba 28. Sasa Basi.
 
Qnachokitqfuta masudi atakipata
Usitishe watu wewe tulieni dawa iwaingie fresh
JamiiForums-286118396.jpg
 
Baba anashangazwa,jinsi gani mtoto haridhiki,hafurahishwi hana shukurani na jitihada za baba yake kuhakikisha anapata anavyohitaji.
NB. Tujifunze kuwa na moyo wa shukrani kwa vyote tunavyofanyiwa na wazazi,wakubwa,ndugu wakuu wetu.
 
Back
Top Bottom