Kibongobongo ajali ni fursa. Ona hapa wabongo wanachofanya baada ya ajali kutokea Iyovi leo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
IMG-20170625-WA0048.jpg
IMG-20170625-WA0050.jpg
IMG-20170625-WA0046.jpg
IMG-20170625-WA0051.jpg
IMG-20170625-WA0056.jpg


Ni tabia mbaya sana kukwapua vitu ajali inapotokea. Na ni laana.
 
kuna cku ajali ya basi la soda ilitokea mlima fulani mbeya gari la soda aiseee watu walijimwagajee
 
Huku Arusha Saibaba lilipata ajali, mwivi mmoja alikatwa kichwa na mmasai katika harakati za kuibia maiti!
 
Tena wanaiba kolestro tupu. bora ingekuwa Arizeti ya singida.

Yaani kuna watu wengine wizi uko damuni. Mazingira yakiruhusu tu anaanza kuiba.
Ukimfungia hata chooni baada ya muda ataaiba mavi yake.

Imenishangaza siku moja tuko msibani, kuamka asubuhi mwenzetu kaibiwa simu mbili. yaani iliniuzunisha sana, msibani mtu amekuja kuiba.
 
Back
Top Bottom