Kibongo bongo madirisha ni lazima yawe na grills

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,826
2,000
1634232383085.png
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
52,826
2,000
Unaimarisha fensi na mbwa na security alarm plus camera......
mambo ya kuweka grill yamepitwa na wakati...
lakini pia majengo kama haya hayapatikani uswazi......
is a matter of neighborhood
Raha ya majengo kama haya ujengee mlimani, ukiangalia view ya nje unona kijani tu. Uswaz view ni mifereji ya maji machafu kutoka kwenye caro ya vyombo na bafuni.
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,401
2,000
Ukiwa na uzio wa kueleweka wenye ulinzi, unaweza usiweke grill, ila gharama za hivyo vioo nazo zimechangamka kidogo.

Ila sie watu tunamahangaiko sana, gari inakuja kutoka nchi za watu unaanza kuitoboa toboa kupiga ribit hadi logo na taa vibaka wasitembee navyo. Unajiuliza huko ilikotoka inamaana huu wizi wa rejareja haupo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom