Kibonde nakusubiria ukuu wa wiliya, aangukia pua, puu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibonde nakusubiria ukuu wa wiliya, aangukia pua, puu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muarubaini, May 9, 2012.

 1. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kibonde wa claud amekuwa akijipendekeza kwa mkuu wa kaya na chama cha magamba akitegemea atapata fadhila ya ukuu wa wiliya lakini ndoto hiyo imezidi kufifia hasa baada ya majina ya wakuu wa wilaya wapya kutoka huku kibonde huyu akiwa hayumo. Chazo chetu kutoka moja ya rafiki zake wa karibu kinasema kibonde alipania sana safari hii ukizingatia mkuu wa kaya hategemewi tena kufanya uteuza mwingine labda itokee dhararu. Kibonde maji huyo anaonekana kukosa raha pale baada ya kugundua kuwa juhudi zake za kujipendekeza zimeambulia patupu. Ushauri: kibonde, uwezo wa mtu ndo humpeleka mtu mbele, kujipendekeza na unafiki amboa kwa mwenye akili huutambua kwa haraka. Is better to be u and speak ur mind than being other people vuvuzela and expect reward, learn from people like Ulimwengu.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Rais hawezi kumteua mtu kibonde kama Kibonde.
   
 3. King2

  King2 JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mgonjwa huyo nani atamteua.
   
 4. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Yani jina kibonde linasadifu ukibonde wake hata akatambikie no cheo ataishia kujipendekeza tu
   
 5. M

  Mahoo Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tunaomba majina ya hao wakuu wa wilaya wapya na ya wale waliotemwa
   
 6. n

  nketi JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duniani kuna mambo.
   
 7. M

  Muarubaini JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena yale ya ajabu
   
 8. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Aombe nafasi za makatibu tarafa zimetangazwa mjazi
   
 9. Frank Alfred

  Frank Alfred Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Ngoja akome maana amekuwa akitukela sna sisi wavaa magwanda,akafie mbali vyeo haviji kwa kujipendekeza kwa mtu!
   
 10. BongoLogik

  BongoLogik JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi yule mpenda sifa mwingine-Richard Kasesela kafanikiwa kuukwaa ukuu wa wilaya? au anavizia ukatibu mkuu kwenye wizara?
   
 11. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu maradhi ni jambo la kawaida katika uhai na maisha ya mwanadamu......!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,046
  Likes Received: 13,259
  Trophy Points: 280
  Yaani Nape ameshindwa kumuombea Udc rafiki yake William Malecela? kweli Nape hana ushawishi wowote kwenye hizi teuzi. Le Mutus imekula kwako.
   
 13. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Anaumwa nini?
   
 14. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 280
  Ameangukia Masaburi kwenye tope.
   
 15. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  wewe ni kibonde
   
 16. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kibonde nimgonjwa wa akili,i mean ana personality disorder, ana poor insight kumtibu ni vgum siku moja mtamuona akiokota makopo!
   
 17. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ana verbal diarrhoea
   
Loading...