Elections 2010 Kibonde na Malaria Sugu wapeta viti maalum?

Status
Not open for further replies.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Jamani nasikia yule mtangazaji aliyewekeana bifu na Mheshimiwa Sugu jina lake limekosewa liko kwenye majina ya viti maalum ya wanawake. Sina uhakika rafiki yangu MS kama yumo au kazi yake ilikuwa kushikilia mapembe tu LOL!
 
Kibonde siyo kwamba ni kada wa chama,tatizo lake anajifanya anajua kila kitu kumbe hana akili zaidi ya kupepeta mdomo,mi binafsi naamini ana matatizo ya akili,kuna kipindi aliwakebei wanafunzi wa Ifm kuwa wanagomea test kisa wameambiwa wafanye test 3 kwa siku!,akadai ni ajabu kugomea test!inashangaza hajui kuwa test ni sehemu za mitihani,jamani msameheni bure kichwani ni kiazi.
 
hahahaha,dah sasa watamkumbuka wapi tena hawa?
labda tusubiri ukuu wa mkoa na wilaya
 
Karne hii ukiona kijana anajipendekeza ccm kama anavyofanya Kibonde ujue ni mgonjwa wa akili! Kwa lipi CCM walichokifanya nchi hii kama sio kutu let down na kuifanya Tanzania nchi ya kibabaishaji na ujanjajanja wa kijinga kabisa. Tz is the only country kiongozi analigharimu taifa mabilion ya mapesa kama kina chenge, Mrema wa Tanroad, Mlamba Mgonja na wengine wengi na bado chombo cha kuzuia rushwa kinajitokeza hadharani na kusafusha uozo huu!
Accountability ni sifuri!
Inashangaza sana kuona kijana ambaye ni independent thinker akiegemea serikali ya CCM inayofanya haya! Future ya taifa hili iko hatarini kama watu wenyewe ndio ninyi akina Kibobe.
 
Ah si unakumbuka wakati mkwere anaingia madarakani alitoa ukuu wa wilaya kwa waandishi wengi sana,sasa naye anavizia nafasi hiyo ila wenzie walimpa mkwere ile furaha yake,kama yeye hajatoa ajiandae kutoa na mkwere kamwe hatamwangusha kwani ni mwingi wa fadhila hasa katika swala hilo.nafikiri kibonde umeelewa haviji bure panua!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom