Kibonde kutukana "mamayo"wafanyakazi wa atcl ni taaluma ama upumbavu??waombe radhi hawa wazee wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibonde kutukana "mamayo"wafanyakazi wa atcl ni taaluma ama upumbavu??waombe radhi hawa wazee wako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 26, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Sijawahi kumtukana mtu na sitomtukana mtu na hapa naomba nieleweni
  ndugu wapendwa mliosikiliza majuzi radio clouds ni tatizo tu gari zetu za siku hizi zinaishia na 90 ..else tungekuwa tunasikiliza wapo radio utamu wa yesu kwa kwenda mbele....

  Sijui kama kuna binadamu wamezaliwa na mamba ama kenge humu dunian wana bailojia wanaweza kutusaidiazaidi..nasema hivi nikimaanisha huyu bwana alivyokuwa akitukana kama hana mzazi kama amezaliwa na kenge..m nafuga kenge wakubwa kwa kweli ukiona akili zaoawana tofauti na kibonde kabisa

  kijana kaama mnavyojua akaanza kuelezea yalioongelewa na mhe mstaafu mattaka akaanza kama alivyoeleza na baada ya hapo akaanza kupaka watu wanakula ovyo mara lile mara hili...mara akanza kutukana wafanyakazi wa atcl..sikatai kweli kina mtu ana matatizo yake lakini alipofika sehemu akadai nanukuu na kama wanarecord kibonde niko radhi utuwekee hapa jamvini wasikilize upumbavu wako nilijua akili zako kumbe ziko kama za kenge

  kibonde alienda mbali aliposema unajua kuna wazee wamekaa pale miaka kama 30 mingine 40 awataki kabisa kufikiria kutoka hata sikumoja na mbaya zaidi utashangaa ukiwauliza kitu unajua sisis tumekaa miaka zaidi ya 30 atujawahi kuona wizi wa ajabu kama huu unaoendelea sasaa""mamayo zao""akashtuka mwenzake akawahi kuleta kichekesho alichofanya akasahau topic ya atc na kuingia nyingine.

  Baadae akarudi na kusema unajua wale mizee ndio imefikisha hapa ilipo shiriika...aliponimaliza ni pale aliposema unajua kuna mashirika yamerudi sawa na ynaendelea poa baada ya kufanyiwa transsion period..nakwambia kama bima ..nasema hivi nikimaanisha mama yangu alikuwa anafanya pale na huyu mh awetu david mattaka...nikasema kumbe katumwa akaanza kusifia nic.

  Lakini pasipo kujua upumbavu wake akujua nic ilibiwa sana na ikamalizwa kabisa na pesa zilizotumika kurudisha nic ni za kodi za babake na mamake akiwemo yeye binafsi na kuishia kungangania ati serikali imeshindwa nini kutoa billion 50 kwa atcl kama wanaleta ndege moja kwa billion 50...labda kwa ufahamu wake ulivyo mdogo akujua hata watoto kila mtu anazaliwa kwa njia zake wengine kwa operation wengine kwa sehemu za kawaida....niliomba mada moja mkurugenzi wa cluods awapeleke awa wafanyakazi shule hata za jion wapate maarifa kidogo.

  Kwa kweli kuna abaadhi wameanza kwenda evening claass open na hata maneno yao yamebadilika shule inakufunza ndugu zanguni..sijui kwa upande wake kibonde lakini naamini ipo siku hata akifika 50 atakumbuka wazo langu....

  Nimefika niwaulize wapendwa huyu bwana ana jua maadili ya taaluma ama ndio alikremishwa kuchukua cheti cha uandishi wa habari na kwa sababu mamake alifanya bima mzee wetu kusaga nae alifanya bima basi wakasaidiana mwingize mwanangu msadie mwanangu mate wangu wa kazini na sasa imefika cluodsss fm redio ya wahuni na sio tena ya kusikiliza watu wenye hekima zao ama heshima zao....

  Kibonde najua utakuwa ipo siku utarudi kuomba radhi hawa wazee wa atcl unaowatukana nadhan wengi ni sawa na mamako mzazi aliekusaidia kupata kazi hapo clouds..so si mbaya ukaheshimu wazazi wako aiajalishi umepewa shillingi ngapi kuchafua heshima za watu

  Ukikuwa utaacha.
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ivi inakuaje huyu mshikaji mnapokua nae kwenye mapombe mnamchekea alafu mkija huku mnamwanzishia topic?

  Mbona hammzodoagi anapokua mc wa mashughuli yenu,,na mnabaki kumkenulia anapoongea upuuzi wake?

  Si ajabu kwenye mechi ya Barca utakuanae na hutamwambia chochote.

  JF isitumike kumpa attention huyu mwehu.
   
 3. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mi sio fan wake lakini hakutukana, tuache uzushi wa kuanzisha topic zisizo na ukweli au kama ulisikia vibaya tafuta uhakika kwanza. Au kama uliambiwa jaribu kutafuta uthibitisho. Pamoja na mambo mengine alisema ".....kafanye kazi kwa mamako...". Kama ulisikia vibaya kutokana na matamshi ni sawa lakini hicho ndo alichosema.
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kibonde deserves no thread/post in JF. Clouds FM is the last FM radio I will tune on..
   
 5. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ana matatizo yake lakini never misquote anybody in this world, its a crime. He never said those words, i was listening to the program. And u dont even listen to clouds fm, why support something u totaly dont know?!
   
 6. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Si akikua,AKIELIMIKA ATAACHA!
   
 7. M

  Mshangaaji Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "K***mako wewe umeifanyia nini atcl miaka yote hiyo" hivyo ndivyo alivyosema. wakati wale mazuzu wenzake wanachekelea. Nilishangazwa nikajiuliza kama wako studio au baa!!!
   
 8. MduduWashawasha

  MduduWashawasha JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 1,568
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Kumbukeni yaliyomkuta Andy Grey wa SKY SPORTS.hapa ilitakiwa kufukuzwa tu kama walivyofukuzwa kina Fina Mango.hebu tuone kama leo atakuwepo
   
 9. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hakusema hivyo. Kibonde ana matatizo mengi lakini kwenye hilo hapana. Au kama tutabishana sana itabidi wanaosupport alisema hivyo walete ushahidi wa clip.' ..kafanye kazi kwa mamako wewe..".
   
 10. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndio lakini alikuwa anaongea pumba nyingi,kama vile kumtetea Mataka alipopingwa chini ukurugenzi wa PPF kipindi cha Mkapa...pamoja na Temu eti aliliongoza shirika la BIMA(NIC) vizuri.....lakini alikuwa anaongea bila facts,just kiushabiki tu kama vile kapewa pesa kuja kusema hayo,Ila mnatakiwa mjue kuwa KIBONDE anauwezo mdogo sana wa kufikiri,mwaka 90 alipomaliza pale Mzizima Secondary form IV,ni yeye tu ndio aliye taga yaani alipata divison ZERO shule nzima,sasa sijui kama alikuja kureseat kupata sifa za kusomea uandishi wa habari au alitumia cheti cha darasa la saba.
   
 11. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wewe ndio Kibonde nini? Unajitahidi sana kumtetea, kulikoni? Ok, let's say hakutukana, lakini kumwambia maneno kama hayo mtu aliyekuzidi umri ni utamaduni wetu wa-tz? Au wewe si m-tz? Angekuwa babaako kaambiwa akafanye kazi kwa mamaake ungekuja kumtetea huyo kibondeee?? Acha hizo!!
   
 12. k

  kashwagala Senior Member

  #12
  May 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibonde huwa anapayuka sana,hawezishindwa kutamka hayo maneno hewani.Toka siku alipo mpayukia Mgaya wa TUCTA ndo siku nilipoacha kusikiliza utumbo wake.Hakuna la maana unaloweza pata toka kwake,sina roho mbaya na mshikaji lakini huo ndio ukweli.Gadner hakuwa na upeo mkubwa wa kuchambua mambo lakini alikuwa anaentertain sana kwenye Jahazi mpaka mtu unafeel relaxed baada ya kazi za mchana kutwa na mifoleni yetu isiyoisha.
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  stupid thread
   
 14. Ndaki

  Ndaki Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: May 5, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kibonde ni MSEMA OVYO Saaaaaaaaaaana! nafikiri alishasifiwa, anakamilisha kwa TEMBO KULITIA MAJI.........hata walevi hawatalinywa. Mkuu wa Clouds amfukuze tu anaanza kumharibia biashara.............Hata kwa Mugaya wa TUCTA Aliropoka!
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Hivi kibonde alishawahi kupanda ndege?
   
 16. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Nakazia hapo kwenye wekundu. Kama ulilijua hilo mbona hukumpotezea? kabla hujaandika hii insha umejichunguza mwenyewe toka asubuhi hujamtukana mtu? Matusi hakika hayakubaliki.kibonde kama binadamu anaweza akakosea, wala usione kibonde kukosea ndio imekuwa diiiiiili na kuanza kutumia nguvu. mpigie simu umpe ushauri. hakika aliyokuwa akiyajadili na akina wasiwasi kuhusu wale wafanya kazi walivopoteza uzalendo na kula pesa ya mlalahoi yanachefua ndio maana yalimpanikisha kibonde. wala sioni kuna kuna sababu ya msingi kulijadili hili, kama kakosea mpigie simu umfahamishe. kwani kuanika makosa ya mtu hapa wala humsaidii bali waweza kujikuta unachota dhambi
   
 17. cream.b

  cream.b Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kwa ukweli mimi jana pia nilikua nasikiliza na kweli alisema hivyo (kutukana)sema alivyo shituka akabadirisha msemo wakati mwenzake wakicheka tu..
   
 18. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  The guy jamani is the free entertainer I do enjoy some of his talk show ila aache tu ushabiki wa kisiasa
   
 19. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Unajua kazi ya kuwa DJ maana yake ni Disco Joker inamaana kua unaleta Jokes wakati unawachezesha watu disco kwa kubwabwaja maneno fulanifulani yawe ya maana au yasiwe na maana ilimradi watu wanapagawa na kuehuka huku wakisakata mziki! sasa pale Clouds wale watangazaji wote pale ni maDJ akiwepo na yule mkurugenzi wao kwahiyo sio jambo la kushangaza kusikia tusi kwenye utangazaji wao hiyo ndio hulka ya watangazaji wa redio clouds kwakua ni maDJ. Pole sana wewe unayesikiliza hii station mimi huwa nikitaka kujua ni ngoma gani mpya imetoka hewani huwa siumizi kichwa nafungulia hii station yao nikishajua ni ngoma gani imetoka basi nabadilisha station! lakini ukitaka kuendela kuisikiliza usishangae matusi tena hata ya nguoni hii ndio Kibonde PEOPLE STATION!
   
 20. M

  Mayu JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  This is too low to be discussed here.
  Hivi shigongo hana site yake ya maupupu kama haya mkaposti huko, kilasiku kibonde, clouds
   
Loading...