Kibonde atumia redio Clouds kuwadharau wazanzibari zaidi ya mia moja waliopoteza maisha

May 8, 2012
56
12
Katika ya Hali isiyo ya kawaida ikiwa mwendelezo wa habari ambazo ziko biase jana jioni KIBONDE ametoa mpya aliposema redioni kuwa haikuwa saws wabunge kutoka nje ili Kwenda kupanga namana ya Kwenda Znz na kusaidia kwenye uokozi.
Hata Kama KIBONDE anatafuta ukuu wa Wilaya tafadhali imefika Wakati sasa Kusaga amwonye asiharibu clouds. Kama anataka akaombe kazi REDIO Tanzania.
 
Katika ya Hali
isiyo ya kawaida ikiwa mwendelezo wa habari ambazo ziko biase jana jioni
KIBONDE ametoa mpya aliposema redioni kuwa haikuwa saws wabunge kutoka
nje ili Kwenda kupanga namana ya Kwenda Znz na kusaidia kwenye uokozi.
Hata Kama KIBONDE anatafuta ukuu wa Wilaya tafadhali imefika Wakati sasa
Kusaga amwonye asiharibu clouds. Kama anataka akaombe kazi REDIO
Tanzania.

ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake!
 
ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake!

kwa sababu zanzibar ni majiran zetu kama kenya.wazanzibar sijui wako je? Daini freedom yenu bhana muwe kama sudan kusini mtaendelea je kuwa chini ya muungano chekni wabunge wenu kuptia magamba wakifika uku wanajifananisha na wabunge wa tanzania bara wanawatenga.chekni uko zenji mmaombolez uku bongo tupo bize na miangaiko yetu amkeni
 
Hata mimi sikuona sababu ya kuhairisha bunge,kwa hili I do concur with his opinion!
 
hii tittle yako haijaendana na habari yenyewe. Tafuta tittle nyingine.
 
hayo yalikuwa mawazo yake je walipotoka nje waliweza kwenda znz? jibu hapana mpaka bunge lilipowatafutia usafiri kwa hiyo haikuwa na maana kuwahi kutoka.
 
ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake!

Maoni yasiyozingatia utu na watu ujue maoni hayo yatakuwa na msukumo wa shetani. Hii msg inatakiwa imshitue ili ajue anachokifanya sicho, kwani hakipendezi masikioni mwa watu kwahiyo abadili hiyo tabia.
 
Katika ya Hali isiyo ya kawaida ikiwa mwendelezo wa habari ambazo ziko biase jana jioni KIBONDE ametoa mpya aliposema redioni kuwa haikuwa saws wabunge kutoka nje ili Kwenda kupanga namana ya Kwenda Znz na kusaidia kwenye uokozi.
Hata Kama KIBONDE anatafuta ukuu wa Wilaya tafadhali imefika Wakati sasa Kusaga amwonye asiharibu clouds. Kama anataka akaombe kazi REDIO Tanzania.

kaka unajua umeshakalili na hii inakupeleka pabaya.eti kila anachojadili kibonde clouds basi lazima kiletwe JF.huu unakua ushamba muda mwingine.kwa akili zako kabisa ukiangalia tittle yko ya ulichokiandika hapa kinawiana vp sasa.acheni kumpandisha mtu.mi nmekua nawashangaa sana mnakua km walimbukeni flan kila kukicha clouds,kibonde mara kusaga.how come ua great thinker bana.
 
hayo yalikuwa mawazo yake je walipotoka nje waliweza kwenda znz? jibu hapana mpaka bunge lilipowatafutia usafiri kwa hiyo haikuwa na maana kuwahi kutoka.

Mwajua ninyi hamja wahi kutwa na haya majanga tatizo letu hapa ni kuwa viongozi wetu huchukulia vipi matukio kama haya yanapo tokea?

Haya Meri ilizama serikali na bunge wao wako kimya walipo zipata hizo taarifa wali toa tamko kwa taifa?? no ni wapinzani walianza kushikia kidedea,

Tukio limetokea Waziri au wizara husika zilitoa taarifa ya dharula kuwa wana fuatailia issue fulani imetokea kwa Speaker? wajua kuna mtu kwa Radio Clouds alisema kuna nchi zingine kuna Chain of Command hapa nchini kwetu hakuna kabisa serikali imekuwa ya kulzimishwa na kusukumwa kwa kila jambo kuamua au kushinikizwa kwa kila jambo yenyewe haiwezi kuwajibikaaaaa.

Haya kule kigoma kuna meri ina miaka 100 na bado ina operate hilo hamlioni nyie wakina kibondee au mpaka wapinzani nao wagome kwa hilo????

JK huko kwetu mwanza alitoa ahadi ya kununua meri mpya kwa ziwa victoria mpaka leo hakuna kitu yaaani serikali wao wamekali tu kucheza na deals ziku zote za Dhahabu,Uranium, Gas na petrol period.

Haya basi tusema wabunge walikosea toka basi nje, Turudi upande wa hiyo serikali mwaitetea
Marine (Navy) iko wapi na inafanya nini mbona hawako ready all the time kwa rescue kama hizi? wakija USA marine hapa ndio twaiona Marine yetu wakifanya excersie kwa bahari na kukimbiza kimbiza viboat vyao ila majanga yakitokea wao wana kuwa wa mwisho kupata taarifa aibu gani hii


 

Kokolioko[FONT=book antiqua said:
[/FONT]] ana haki ya kikatiba kutoa maoni yake!


Una akili sana mkuu!


Kibonde hupenda ku crash wenzake wakitoa maoni na yeye pia twa mcrash kwa maoni yake aliyo yatoa kwa Radio si wote tuna uhuru wa kutoa maoni na kupingana kwa hoja tuzitoazo sasa tuone ya kwake inachukuliwa vipi kwa wananchii je hoja yake ni ya

"kimasaburi eeeeeeehhhhhh,"



 
bunge kuahirishwa kwa sababu janga kama hili sioni tatizo ingekuwa limeahirishwa kwa sababu ya raha ningeona kuna tatizo.
zipo sababu za kijamii na kisiasa kwa wabunge kuhudhuria na kuwafariji wafiwa na waliopotelewa na ndugu zao.
 
Back
Top Bottom